Mwanadamu hakubali haraka mpaka siku itakavyofika na kulitumia

chizcom

JF-Expert Member
Jul 31, 2016
7,581
15,720
Leo nimecheka sana baada ya jamaa mmoja kuwa mbishi na kipindi kile cha mwenda zake jambo la chanjo lilivo elezwa.

swala la chanjo alikuwa hataki kabisa wala kusikia,sasa kapata kazi nje na yenye pesa nzuri na lazima chanjo kupiga.

Hapa namuona yupo kimya !

Tuje kwenye mada
wanadamu sisi dunia nzima si rahisi kupokea chochote kwa mda mfupi ndio maana hata manabii wote waliopita walipingwa na wengine kufa ilikufata tunayo pewa ila kwa vile mda ushapita ndio maana tunayatumia kwenye dini zetu.

Hata maswala ya kibadamu,teknolojia,mitazamo,ufikiri,utambuzi haya yote wanadamu kupokea haraka ni ngumu.

Katika dunia ya sasa tutafikia mda hakutakuwa na kutembea na mavitambulisho,mafunguo,kadi za benki,pesa au huduma mbali mbali ila kutakuwa na chip itakayo wekwa mkononi
IMG_5658.jpg


chip hiyo itaweza kufatilia Afya yako,historia yako,lain yako ya simu itakuwa mkononi,kadi za aina zote,cheti cha ndoa,vyeti vyote,familia,rekodi za polisi,michango ya shughuli.
 
Aisee!!?

Kuna mtu atakuja kuuliza vip mtu akihack iyo chip yako?
 
Mambo ayo ili yatokee si mpaka Uyo muhuni Punita asijekuvitupia vile vitu vya Nuclear!!

Mana jamaa anazijua mwenyewe akili zake..
 
Aisee!!?

Kuna mtu atakuja kuuliza vip mtu akihack iyo chip yako?
Mtu hawezi kuhack kitu kama hana basic info zake, na hata mtu akipata izo basic info pia bado sio kazi rahisi kumhack mtu apo kuna vitu kama 2-factor authentication


Nakuibiwa vitu mbona hata sasa vinaibiwa fresh tu na inawezekana unachomolewa mfukoni kbs
 
Back
Top Bottom