Mwanadada una-date na mume wa mtu ukitegemea akuoe, hiyo haipo kabisa

Umechelewa Siku hizi wanapindua meza kirahisi sanaa na hakuna anaetaka ndoa wanafata starehe tuu na kuhongwa kwa uhakika si unajua Mme wa mtu akupigi kalenda...eeh ndo ivo.
Ujauzito ukitokea inakuwaje
 
Back
Top Bottom