Mwanadada shujaa aliyefanikisha kung'olewa kwa Rais wa Sudan

Huyu hapo chini ni Bi. Alaa Salah miaka 22, Mwanafunzi wa chuo kikuu cha Kimataifa cha Sudan( SIU ) aliyeongoza maandamano ya kumg'oa Rais wa Sudan

Anasema yeye kama Mwanamke anafurahi kwa kutimiza wajibu wake nchini mwake.

Hili liwe fundisho kwa dada zetu kuwa chachu ya mabadiliko.

View attachment 1069675

In God we trust
Wewe umeshindwa kumtoa mbowe sasa unaomba msaada wa wanawake, kituko.
 
Unathibitisha kuweweseka kwako mkuu hakuna sehemu ametajwa mtu personally
Hivi unatumia akilinipi mkuu kulinganisha Magu wa miaka 3 madarakani na jamaa wa madarakani zaidi ya miaka 30?

In God we trust
 
Back
Top Bottom