Mwanachuo usidharau kipindi cha Orientstion

Nov 2, 2020
68
90
Ni utaratibu wa vyuo karibu vyote kwa ngazi tofauti kuwa na ratiba ambayo inaonesha mambo muhimu yanayohusiana na chuo husika.
Ujumuisha sheria na kanuni za chuo,ufaulu na madaraja tofauti ,Maeneo muhimu ya chuo kama hostel na madarasa mengine.
Na wengine huenda mbali hata wakawasaidia wanafunzi juu ya kuufahamu mji husika kilipo chuo pamoja na nini kinaweza kukurahisishia upatikanaji wa huduma muhimu.

Baadhi yetu huona kipindi hiki si lolote si chochote na hivyo kujipa muda wa kuendelea na mambo yake mengine ikiwa ni pamoja na kusalimia ndugu na jamaa au kubaki tu chumbani akisubiri kuanza rasmi kwa masomo.

Nikwambie rafiki ,Kipindi hiki kamwe usikidharau ,kwani kina mengi ya msingi ambayo ukizembea baadaye hutopata wa kukufafanulia kama walivyofanya waalimu na watendaji wengine wa chuo chako.

Usikubali kushikiwa akili na wenzako,Chuo umekwenda mwenyewe na utaondoka mwenyewe.

Youth Worker
Hardeness ,Teaches
 
fact mkuuu but wengne ndo tumeshazoea toka kipnd kile shule zkufunguliwa unavuta zako dayz unazotaka.....ila kwa hili nawashaulii tuwahn vyuon tyuuu
 
N kweli mkuu japokuwa mm sijawah kuingia kwenye orientation mana mambo yalikuwa sio mambo hvy nkachelewa kufika chuo, ila mwisho wa siku mambo yakawa gud tuu
 
Mimi ni moja ya watu nilio shawishi na kuvuta wenzangu tusiende kwenye icho kipindi na amna kilicho pungua..
 
Back
Top Bottom