Mwanachuo anayeingia mwaka wa pili akaomba mkopo HESLB kwa mwaka huo, wanapotoa batch yeye ataingizwa kwenye batch gani?

willy lyatuu

New Member
Feb 17, 2014
4
0
Naomba msaada wandugu,

Eti kwa mwanachuo anaeingia mwaka wa pili, akaomba mkopo HELSB kwa mwaka huo. Wanapotoa batch yeye ataingizwa kwenye batch Gani, maana batch ya kwanza wamesema ni kwa mwaka wa kwanza na idadi at.

Msaada please
 
Kipindi chetu continuous majina yao yalitumwa moja kwa moja chuo.hawanaga batch.sijui siku hz
Mpaka mwaka jana ndio hivyo majina ya wanaoendelea yanatumwa chuoni kama continuous
 
Wapo continuos ambao wameomba mkopo, mfano mm, niko mwaka wapili. nawalisema watatangaza butch ya 5 tarehe 4 ambapo wale continuous wanaeza kupata mkopo lakn mpk sasa hawajatangaza butch ya 5, natayar washafungua dirisha la rufaaa hi inakuwaje ?
 
Mpaka mwaka jana ndio hivyo majina ya wanaoendelea yanatumwa chuoni kama continuous
Sasa wakituma tu chuoni vip kweny account zetu za sipa huwa wanatoa taarifa? maan kwenye account zetu walisema watatangaza butch ya 5 tarehe 4 na mpaka leo tarehe 9 hawajatangaza sasa hii inakuwaje?
 
Nukuu kutoka SIPA
"Dear applicant, the appeal window is open from November 6 th – 10 th, 2021. You are advised to read and follow instructions when submitting your appeal.

Ndugu muombaji, dirisha la rufaa lipo wazi kuanzia Novemba 6 – 10, 2021. Unashauriwa kusoma na kuzingatia maelekezo yanayotolewa wakati wa kuwasilisha rufaa yako."

Rais alisema wote wapate mikopo, sasa huu ubaguzi umetoka wapi? au ilikuwa gear ya kupunguza makali ya malalamiko ya tozo! Na naona kama uko mwaka wa pili na mwaka wa kwanza hukupata mkopo, kuappela ni kupoteza muda na gharama bure
 
Leo ni siku ya mwisho ya kuappeal. Kinachtokea hiki hapa:
https://olas.heslb.go.tz/index.php/appeals/reasons/proces

Internal Server Error

The server encountered an internal error or misconfiguration and was unable to complete your request.

Please contact the server administrator at webmaster@heslb.go.tz to inform them of the time this error occurred, and the actions you performed just before this error.

More information about this error may be available in the server error log.
 
Baada ya madudu ya mtandao wa HESLB kama yalivyo wekwa hapo kwenye bandiko 10, sasa wameongeza muda wa siku 2 zaidi eti wanafunzi wamehitaji muda zaidi. Kuweni wakweli kuwa sever yenu imechemsha
 
Back
Top Bottom