Mwanachuo aliyekuwa akisoma katika Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) Tawi la Mbeya Jofrey J. Nyoni auawa na wananchi wenye hasira

Kasomi

JF-Expert Member
Sep 3, 2014
6,643
2,000
Mwanachuo aliyekuwa akisoma katika Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) Tawi la Mbeya Jofrey J. Nyoni aliuawa na wananchi mwenye hasira kali katika kata ya Sinde jijini Mbeya.

Mwanachuo huyo aliuliwa ikidaiwa kumiliki simu ya wizi wengine wakidai kuwa ameiba simu siku ya tarehe17-05-2021

Taarifa rasmi zilitolewa chuoni tarehe 18-05-2021.

Uchunguzi wa kifo hicho bado unafanyika kubaini kua aliiba au alikutwa na simu ya wizi.

Tuwe wazalendo

16214122517874934900419075355669.jpg
 

souljar

JF-Expert Member
Feb 16, 2021
686
1,000
Mwanachuo aliye kua akisoma katika chuo cha elimu ya biashara (CBE) Tawi la Mbeya Jofrey J. Nyoni aliuwawa na wananchi mwenye Hasira kali katika kata ya Sinde jijini Mbeya.
Mwanachuo huyo aliuliwa ikidaiwa kumiliki simu ya wizi siku ya tarehe17-05-2021 taarifa rasmi zilitolewa chuoni tarehe 18-05-2021.
View attachment 1790538 Uchunguzi wa kifo hicho bado unafanyika.
Kipindi flani pale IFM jamaa kapigwa mawe kisa wamezinguana na demu wake akamuita mwizi na kulikuwa na event flani pale, ni ngumu kubeba story kama ilivo.

Sent from my 601SO using JamiiForums mobile app
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom