Mwanachuo akamatwa akiwanga

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,850
155,797
[h=3]UCHAWI UCHAWI UCHAWI[/h]

MWANAMKE huyu ambaye hakufahamika jina lake amekutwa katika mazingra haya jana alfajiri maeneo ya Ilomba Jijini Mbeya akiwa kama alivyozaliwa, Inadaiwa kuwa mwanamke huyu ni mmoja wa wanafunzi wa chuo Kikuu cha Teofilo Kisanji(TEKU).

Wananchi walikusanyika katika eneo alipokutwa mwanamama huyu ambapo inadaiwa kuwa alikuwa akiwaqnga nyakati za usiku lakini akakutana na wababe wa Ulozi mitaa hiyo ndipo aliposhindwa kuendelea na ulozi wake na kujikuta akikosa nguvu na kushindwa kuendelea na safari yake ya ulozi hadi alipokutwa asubuhi kweupee!!!

Inaelezwa kuwa eneo hilo ni maarufu kwa kukamata watu wanaoingia anga hizo kwa ajili ya kufanya ugagula ambapo miezi michache iliyopita mtoto mdogo wa kike naye alibambwa akitaka kufanya ulozi na kukutwa na umati wa watu kabla ya kufanya ulozi wake.

Mwanamke huyu aliokolewa na askari polisi ambao walimchukua moja kwa moja hadi kituoni kwa ajili ya kuhifadhiwa ili asipate madhara zaidi.Jitihada za kukutana na uongozi wa chuo kikuu cha TEKU zinaendelea ili kujua kama mwanamke huyu alikuwa ni mwanafunzi wa chuo hicho kama inavyoelezwa na watu ama la.
 
Hii nimeipenda.yaani sasa hivi tuna mpaka wachawi wenye digree zao! Safi!tena safi kabisa! Safi sana! Tumefanya kazi kweli kweli kwenye eneo hili la elimu. Kwa hiyo sasa hivi kila mtu walau ataweza kufanya mambo kisayansi.mkulima atalima kisomi na mchawi ataloga kisomi.
 
waturahisishie usafiri wa anga, badala ya kulipa malaki, walete nyungo tuwe tunalipa bukubuku
 
Napata shaka kwamba ni mwanachuo alikuwa anawanga, ila nahisi labda inawezekana wamentegeshea labda kuna jambo lipo nyuma ya pazia. Najaribu 2 kutafakari.
 
DAH MBONA PRAWNS YENYEWE NI YA UKWELI SANA??

MIMI NIKIMKAMATA KAMA HUYO ANANIWANGIA SIMFANYII CHOCHOTE KIBAYA HATA KUMTANGAZA SIMTANGAZI,,NAJIFUNGIA NAE TUH CHUMBANI NAMPA DUSHELELEE

:madgrin: :madgrin:
 
Napata shaka kwamba ni mwanachuo alikuwa anawanga, ila nahisi labda inawezekana wamentegeshea labda kuna jambo lipo nyuma ya pazia. Najaribu 2 kutafakari.
Mkuu,
Shetani hana Adabu, yupo na anatenda Kazi, na sasa ni wakati wa Kampeni na wagombea ni MUNGU na Shetani, na huyo dada ni Kampeni Meneja wa Shetani.....
 
Hii nimeipenda.yaani sasa hivi tuna mpaka wachawi wenye digree zao! Safi!tena safi kabisa! Safi sana! Tumefanya kazi kweli kweli kwenye eneo hili la elimu. Kwa hiyo sasa hivi kila mtu walau ataweza kufanya mambo kisayansi.mkulima atalima kisomi na mchawi ataloga kisomi.

.
Unafikiri mpaka ka nchi ketu kushikilia kombe la dunia la mambo ya ulozi ni mchezo? Wenye degree zao wachawi, viongozi wa kitaifa wanagawa kikombe cha babu, maaskofu nao wanawapigia chupuo wagawa vikombe nk.
Chezea Tanzania wewe!!

Sikujua kuwa tunahodhi kombe la dunia.
Ila nilipata kusikia kuwa mlango wa kwendea kuzimu uko Ziwa Tanganyika Kigoma, ukitupa mayai yakon saba, ukabiga na aya ya kwenye quran unaenda moja kwa moja kuonanan na Lucifer
 
halafu huyu mama aliyekuwa analoga anasoma chuo cha dini.
 
waturahisishie usafiri wa anga, badala ya kulipa malaki, walete nyungo tuwe tunalipa bukubuku

kiongozi sio mmoja eneo hilo wanakamatwa wengi wanasema jamaa mwenye ile nyumba kazindika sasa wanga hawakatishi eneo hilo. ila ninachofahamu mimi hadi sasa wadada wawili wameshakamatwa hapa na wanadaiwa kuwa ni wanafunzi wa chuo cha teofil.
kulikoni wanafunzi wa chuo hicho.
 
halafu huyu mama aliyekuwa analoga anasoma chuo cha dini.

.
Khe hivi theofilo ni cha dini? Kama ni hivi basi tutakuwa na kina babu lukuki siku za usoni.
Tanzania kiboko pale kariako shimoni pana jamaa ana mtaji wa elfu 30 katika biashara ya ndimu analinda biashara yake kwa mtambo maalumu yaani hirizi tena ina pumua kama kiumbe hai.
Chezea Tanzania weye!
.
 
Hii nimeipenda.yaani sasa hivi tuna mpaka wachawi wenye digree zao! Safi!tena safi kabisa! Safi sana! Tumefanya kazi kweli kweli kwenye eneo hili la elimu. Kwa hiyo sasa hivi kila mtu walau ataweza kufanya mambo kisayansi.mkulima atalima kisomi na mchawi ataloga kisomi.
...Mi nasubir launching wa zile ndege zao nadhani bei zitakuwa nafuu kuliko za Fast Jet!!..
 
Duh! Nimechoka aisee! Mimi nilikuwa nadhani kunauhusiano kati ya uchawi na kutokwenda shule kumbe nilikuwa najidanganya aisee!
 
Jamani acheni hayo mambo.Inawezekana dada wa watu kurukwa na akili,angalia kwenye picha tu anaonekana kichwani
si salama.Jamani,haya mambo mara nyingi watu wanaua vichaa au vikongwe kwa imani za uchawi.Imefika kipindi watu waelimishwe kuhusu uchawi-
 
Sikujua kuwa tunahodhi kombe la dunia.
Ila nilipata kusikia kuwa mlango wa kwendea kuzimu uko Ziwa Tanganyika Kigoma, ukitupa mayai yakon saba, ukabiga na aya ya kwenye quran unaenda moja kwa moja kuonanan na Lucifer

Kaka hapo umekosea Quran haina uhusiano na Lucifer, Lucifer ni kiongozi wa mashetani wanao mpinga Mwenyezi Mungu na Quran ni maandiko matakatifu ya Mwenyezi Mungu, iweje utumie Qurani halafu uonane na Lucifer
 
Nahisi anataka kufuata nyayo za wachawi wenzie kama kakobe,anton lusekelo na wengine wengi
 
Radi ya Kristo imemdondosha!! Msomi mzima unaloga? Kweli uchawi kisirarani!! Wazazi wangu wangekuwa na uchawi wakanipa jambo la kwanza ningemloga yeye kwanza akishapata maumivu yake basi namwambia tukatupe.
 
Back
Top Bottom