Mwanachama wa NCCR Mageuzi, Felix Mkosamali ahamia CHADEMA

Kuna yule Msukuma alimdhalilisha Mzee wa watu kwa maneno machafu sijui sasa anaweza kumtazama usoni.
Kuna msukuma, pole pole sijui sasa hivi wanajisikia vipi. Lkn hawana la kusema au kufanya maana aliye mrudisha ni mwenye chama chake.
 
Matendo ndio yanaonyesha usaliti,kuhama chama hakukatazwi,kinachosemwa usaliti ni kukisema vibaya chama ulichotoka,mkosa mali kahama kimya kimya wala hajakisema vibaya NCCR.
Sawa, lakini kama kilichokutoa ni huo ubaya kuna tatizo gani kuusema kama unaamini ni kwa faida ya umma, maana vyama ni vya umma.
 
Kawaulize wenzako kina Lijualikali ndiyo akili zenu zinafanana,
Wachana na watu makini wa cdm

Huyu jamaa mimi namkubali sana,ukiwa na Mkosamali na kule Heche hawa wawili ni sawa na wabunge 100 wa ccm.
 
Sawa, lakini kama kilichokutoa ni huo ubaya kuna tatizo gani kuusema kama unaamini ni kwa faida ya umma, maana vyama ni vya umma.
Hapana cha Ubaya ni Kufika bei tu,Kumbuka Kigogo alisema miezi kama minne iliyopita kwamba Lijualibutu na Silinde wamefika bei na hakuna aliyeamini ona sasa waliyoyafanya kusema vibaya ni moja ya makubaliano na chama cha kijani baada ya kufika bei.
 
Kawaulize wenzako kina Lijualikali ndiyo akili zenu zinafanana,
Wachana na watu makini wa cdm
Mwaka huu Mmawia sigombani na wewe wala mtu yoyote. Nakaa pembeni naangalia show tu, season finale Oct 2020😎
 
Hapana cha Ubaya ni Kufika bei tu,Kumbuka Kigogo alisema miezi kama minne iliyopita kwamba Lijualibutu na Silinde wamefika bei na hakuna aliyeamini ona sasa waliyoyafanya kusema vibaya ni moja ya makubaliano na chama cha kijani baada ya kufika bei.
Na ni Kigogo huyo huyo aliyetangaza msiba wa kitaifa lakini watu mpaka leo wapo wanapiga oksijeni tu mtaani.
 
Kweli na Kigogo huyo huyo aliyetangaza kwamba TIB na TPB zinapiga Colabo MATAGA wakabisha balaa ila hawakuamini wiki iliyopita kwenye magazeti.
 
Mchakato wa issue kama hizo huwa ni open secrets kwa sababu ina maandalizi ya kina na wahusika ni wengi.
 
Sasa Mbona huwa akitoa taarifa mnaanza KUBISHA kwamba sio kweli? Kama ni Open kwa nini mnasema taarifa zake ni UZUSHI kisha baada ya muda inakuwa ni kweli.?
 
Back
Top Bottom