Mwanachama wa NCCR Mageuzi, Felix Mkosamali ahamia CHADEMA

Mkuu fomu mama anayo Bashiru mfanyie timing kipara kipya akienda chooni kubugia ugoro pale lumumba, we ingia ndani utamkuta Bashiru
kumekuchaaa... kumekuchaaaa.... nileinda kuchukua fomu makaomakuu nikajibiwa ilikuwa moja tu hivo nikamfate aliechukua anipe nikatoe copy...:p:rolleyes:
 
Wanasiasa wa bongo hivi huwa wanasoma Sera za vyama vyao au wanafanya kama sifa kuhama hama
 
Sasa Mbona huwa akitoa taarifa mnaanza KUBISHA kwamba sio kweli? Kama ni Open kwa nini mnasema taarifa zake ni UZUSHI kisha baada ya muda inakuwa ni kweli.?
Point yangu ni rahisi tu, sio kila asemacho ni kweli mfano ni ule msiba feki. Vipo vya ukweli.
 
Aliyewahi kuwa Mbunge wa Muhambwe Mkoani Kigoma kupitia chama Cha NCCR Mageuzi, Felix Mkosamali, amekihama chama cha NCCR-Mageuzi na kuhamia CHADEMA ambapo pia ametangaza nia ya kuwania ubunge wa Jimbo la Muhambwe kupitia CHADEMA katika uchaguzi mkuu mwezi Oktoba.

Kweli chema chajiuza

Huyu hajanunuliwa ila angeenda kule angekua kanunuliwa..
 
Je ushawahi kulisikia hili hekalu la panya huko india? Fungua link hii kutazama maajabu ya hekalu hili. Pia gusa neno SUBSCRIBE ili kupata maajabu zaidi
 
Cdm ni watu makini na wanaheshimu utu wa mtu, cdm inaheshimu haki za binadamu, cdm ina amini kuwa biashara ya utumwa iliisha kipindi cha ukoloni.
Huyu hajanunuliwa ila angeenda kule angekua kanunuliwa..
 
Back
Top Bottom