Mwanachama wa CDM atoa kiwanja chake kwa kujengwa ofisi ya CDM Nyamagana

KAMP2015

JF-Expert Member
May 27, 2013
281
69
Katika mkutano wa hadhara wa Mh Mbowe Mwenyekiti wa CHADEMA jijini mwanza, mtu moja ametangaza hadharani kutoa kiwanja chake kwa ajili kujengwa ofisi ya chadema.
Source: ITV HABARI SAA 2 UCKU J3.
 
Tanzania itajegwa na wazalendo kama hawa.hadi kufikia 2015 magamba yatakuwa kwishinei!
 
Kiwanja alichotoa Saboda Mwenge wajenge makao makuu wamekiuza na kuvinjari Marekani na kutembela helikopta. Halafu huyo mzee maskini hajui kuwa anakabidhi fisi mbuzi. Na sijui kama kamwambia mkewe kuwa mali waliyopata pamoja ameionga chadema. Wajinga .........(malizia basi we bavicha)
 
Hongera mzee chama kitajengwa na wenye mioyo wembe ni ule ule chadema juu juu zaidi
 
Duh, hongereni cdm, je atakapotoka itakuwaje? Isije ikawa kama yule wa singida!

Hapana hujamwelewa ameunganisha.

Katika mkutano wa hadhara wa Mh
Mbowe Mwenyekiti wa CHADEMA.
jijini mwanza,
mtu moja
ametangaza hadharani kutoa
kiwanja chake kwa ajili kujengwa
ofisi ya chadema.
Source: ITV HABARI SAA 2 UCKU
J3.
 
Yule mzee jana aliongea kwa uchungu sana alisema kwakuwa uwanja wake uko barabarani maeneo ya mkuyuni basi maccm wamekuwa wakimfuatilia iliwampokonye huo uwanja baada ya kuona yeye hawezi kujenga maeneo hayo potential, so ameamua kuwapa chadema iliwajenge ofisi hapo.
 
...chanda chema uvishwa pete!..
 
Yule mzee jana aliongea kwa uchungu sana alisema kwakuwa uwanja wake uko barabarani maeneo ya mkuyuni basi maccm wamekuwa wakimfuatilia iliwampokonye huo uwanja baada ya kuona yeye hawezi kujenga maeneo hayo potential, so ameamua kuwapa chadema iliwajenge ofisi hapo.

Kwa uchungu angekuwa kwenye mkutano? Wenye uchungu huwa wako leba wanazaa acha uongo wewe au ndio ile naniii?
 
Kwa kasi hii hakyanani ccm lazima iondoke 2015

Mwanae alipanda jukwaani na kupinga live kitendo cha baba yake kugawa urithi kwa CHADEMA badala ya wao. Huku Mbowe akijitapa kuwa hana njaa! source- ITV
 
Back
Top Bottom