Kaishaingizwa kingi huyo
Kaishaingizwa kingi huyo
Kiwanja alichotoa Saboda Mwenge wajenge makao makuu wamekiuza na kuvinjari Marekani na kutembela helikopta. Halafu huyo mzee maskini hajui kuwa anakabidhi fisi mbuzi. Na sijui kama kamwambia mkewe kuwa mali waliyopata pamoja ameionga chadema. Wajinga .........(malizia basi we bavicha)
Duh, hongereni cdm, je atakapotoka itakuwaje? Isije ikawa kama yule wa singida!
Yule mzee jana aliongea kwa uchungu sana alisema kwakuwa uwanja wake uko barabarani maeneo ya mkuyuni basi maccm wamekuwa wakimfuatilia iliwampokonye huo uwanja baada ya kuona yeye hawezi kujenga maeneo hayo potential, so ameamua kuwapa chadema iliwajenge ofisi hapo.

Kabebe ma box wewe,hakuna mtanzania mwenye akili timamu anayeitaka ccmKaishaingizwa kingi huyo
Kwa kasi hii hakyanani ccm lazima iondoke 2015