TANZIA Mwanachama mwenzetu Warumi afariki dunia akipatiwa matibabu Hospitali ya Taifa Muhimbili

Status
Not open for further replies.
Daah andjul ali-like comment yangu kwenye uzi wa zamani wa Warumi. Mmh ile nafungua naona RIP kwenye ID ya Warumi; nikakukumbuka ghalfa. Kwa kweli mmepitia mengi na Warumi kwenye hekaheka za umbea. Nakumbuka enzi zile mnachambana na Matola;Warumi anachanganyikiwa na vichambo hadi anajiquote mwenyewe.

Evelyn Salt unakumbuka binamu alivyoenda kulala kwenye msiba wa Marehemu Kuambiana ili tu kutuletea ubuyu? Daah binamu yetu maskini
Tukachambwa hadi kwa blog ya sinta jamani
Kipindi hicho mi na warumi ndio tumejiunga jf matola alitusumbua jamani tunachanganyikiwa kabisa tunaenda pm tutumie mbinu gani kumtukana Matola
Halaf ananiambia eee binam dina li matola linachamba hili limbwaaa 😂😂😂
 
Nikiwaona hivi wadau wa enzi za warumi.

Yesuuuuu!!
Naumia
 
1629980826415.png

Warumi huyu huyu
RIP
Life is meaningless
 
Hahahha tunacheka kama mazuri. Kwa kweli Matola alikuwa anawanyoosha; nilikuwa ninacheka hadi basi. Mnaungana wenyewe ila bado anawatoa jasho.

Hiyo ya kuchambwa kwenye blog ya Sinta, mmenikumbusha na binamu Raynavero Vichambo hadi na U-turn kwa Mange
Tukachambwa hadi kwa blog ya sinta jamani
Kipindi hicho mi na warumi ndio tumejiunga jf matola alitusumbua jamani tunachanganyikiwa kabisa tunaenda pm tutumie mbinu gani kumtukana Matola
Halaf ananiambia eee binam dina li matola linachamba hili limbwaaa
 
warumi YOU LEFT A LEGACY kule Celebrities.

Umeniuma mdogo wangu.
Dah.
Pumzika Binamu.
Nimemiss matusi yako yasiyo na mpangilio mbwa wewe.kwa nini sasa jamani!😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
Uuuuwih
 
Unakumbuka siku ile alipigwa ban ya kuonewa; tukaanzisha #BringBackWarumi#, hadi akarudishwa. Weee aliporudishwa sasa tulikoma "mmbea mwenye nyota yangu sijui sina mpinzani na nini". Daah binamu ahsante sana kwa yote
Watu walikuwa wakimtukana warumi
Warumi anagoma kutupa umbea kisa hatumsaidii akichambwa
Ikabidi tuanze kuwa tunamsaidia
Nitammiss jamanu warumi
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom