Mwanachama mpya

PRINCE MWABU

Member
Dec 9, 2021
8
12
Hodi humu ndani, naitwa PRINCE MWABU. Nawapongeza wote wadau wa Jamii Forums, najiuliza kwanini wadau wanavunja sheria na kanuni za jukwaa wakati ziko wazi? Hasa suala la kutumia lugha ya kuudhi, lugha zenye ukakasi, kashfa, vijembe na kejeli.

Haipendezi na siyo afya kwetu sote. KAZI IENDELEE!
 
Back
Top Bottom