MwanaCCM, Kama Polisi wangekuwa hawazuii mikusanyiko ya maombi, nyinyi tulitakiwa tuwaombe

mr mkiki

JF-Expert Member
Sep 22, 2016
5,583
11,659
DJ6RS49W0AAUWa7.jpg

Serikali Ya Awamu Ya Tano Imewekeza Zaidi Kupambana Na Wanasiasa Wa Upinzani Kuliko Ilivyowekeza Kwenye Kutatua Changamoto Za Wananchi !

Mtu MKWELI ni rasilimali muhimu kwa taifa letu. Haijalishi UKWELI huo anausemaje, anamueleza nani, ni mchungu kiasi gani.

Una post propaganda kusema uko kwenye vita ya kiuchumi, vita na nani? Na viongozi walio saini mikataba mobovu? Wawekezaji? Wananchi?

mr mkiki
 
View attachment 590859

Back
Top Bottom