Mwana wa mfalme wa Saudi Arabia Mohammed Bin Salman (MBS) anapanga kufanya ziara za kimataifa karibuni

The Stress Challengerr

JF-Expert Member
Jan 18, 2020
2,478
6,764
Inakuwaje wanajamvi!

Mwana wa mfalme wa Saudi Arabia defacto ruler Mohammed Bin Salman (Strong man) anapanga kufanya ziara za kimataifa karibuni.

Nchi atakazozuru ni Turkey, Greece, Cyprus, Jordan na Egypt. Ambapo atajadiliana mambo mbalimbali ya ukanda huo pamoja na international issues na kuweka sahihi kwenye makubaliani ya nishati na biashara.

Hii itakuwa mara ya kwanza MBS kufanya ziara nje ya Saudia tangu 2018 baada ya kifo cha mwanaharakati mashuhuri Gamal Kashoghi na mlipuko wa Corona.

Alitembelea pia Japan kwenye mkutano wa G20 2020.

Tarehe halisi ya ziara hizo hazijawekwa wazi huenda ikawa mwanzoni mwa juni.

Ziara hii inakuja wakati Washington wakijaribu kurudisha uhusianona Riyadh baada ya sintonfaham kati ya Biden na MBS.
 
Back
Top Bottom