Mwana ukome a.k.a. Unyama unyamani!

Sumu

JF-Expert Member
Nov 5, 2010
6,960
6,075
Jamani vibaka wamezidi sana huku uswahilini kwetu hadi imekuwa kero. Wanaiba sana, kila siku ni matukio ya wizi wa kukata nyavu za madirisha usiku. Juzi wameniibia tena kwa mara ya tatu sasa leo nimeamua nikawasomee Al Badir ili niwakomeshe. Kama kuna mtu anauhakika huwa Al Badir inafanya kazi kweli anipe experience yake. Hata akinielekeza wapi nitaweza kupata huduma nzuri ya kuwasomea hawa vibaka Al Badir nitashukuru sana.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Pole mdau! Kuibiwa kuku tu Thrade Jeiefu! Siku ukiibiwa Ng'ombe sijui mchimbiko wake utakuaje!
 
Pole mdau! Kuibiwa kuku tu Thrade Jeiefu! Siku ukiibiwa Ng'ombe sijui mchimbiko wake utakuaje!

Hela zenyewe za mawazo ndo maana.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom