Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,597
- 215,272
Ilianza baada ya kukutana na mwanaume na kahidiana kuoana, siku alipopelekwa ukweni alimuona kaka mkubwa anavutia zaidi. Alifanikiwa kuhamishia penzi kwa kaka yule na kufunga ndoa ya bomani.
Walifanikiwa kupata watoto na bahati mbaya mwanaume alifungwa jela. Akiwa na watoto na changamoto za maisha, mdogo wa mwisho katika familia alive a jukumu la kulea familia ile na shemeji alimpa kitumbua si elewi kama ni kwa mapenzi au kulipa fadhila. Aliishi a kubwba uja uzito na kujifungua salama mtoto wa shemeji.
Walipokwaruzana na shemeji yake aliye chumba wa kwanza alipelekewa malalamiko. Katika kuweka mambo sawa na yeye alitunukiwa zawadi na shemeji.
Sasa ni mchanganyiko hajulikani mtoto wa baba mkubwa wala baba mdogo. Dunia ni majanga.