Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 66,992
- 173,588
- Thread starter
- #101
Unless hujaelewa dhima ya video hio! Jamaa anachofanya sio mkwara ila tu amepotray hali halisi ya mtaani!Mi huyo!! Huu mkwara haushtui kabisa labda kwa watoto
Wake zetu jinsi wanasumbua yani we ukitaka mzigo akianza tabia ya kusema amechoka inakuwa maumivu sana kwetu! Unaweza vumilia kunyimwa na mke ila ikifululiza it becomes makusudikaly🤓 kwahio option inayobaki ni kwenda kujitafutia nje huko.
Ila baada ya sie kupata mchepuko nje unashangaa mke anaanza kuhaha sasa maana anapofanya ule mchezo wa ku deny sex anamake fun of you ama either ana cheat nje! Mwisho nawewe unaamua huangaiki nae unapooza rejeta nje huko kwa hawara...Ni tatizo ambalo chanzo ni mke kutowajibika ipasavyo katika nafasi yake sio kwamba wanaume tunataka sana michepuko! Mke anapoleta usumbufu kwenye huduma ndio anakupa tiketi ya kutoka nje!