Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 82,110
- 158,964
Marahaba my sista
Ila mmh dada tu ninae
Marahaba my sista
Ila mmh dada tu ninae
Hujambo love wangu wa nguvu?Habari za usiku jirani!
Naanzaje kumsaliti my love wangu!!
DaaaaahNaanzaje kumsaliti my love wangu!!
khaa kashfa hiziObviously kwa huo unene atakuwa ananuka
Mkuu hilo swali hata mimi najiulizaga sana, achana na wale ambao ni vibonge toka udogo wao na ni asili yao labda. Kuna hawa vibonge chipukizi hawa mtu anafutuka mpaka unajiuliza hivi hajioni?? Hii hali haimkeri hata kidogo!?Hivi mtu anakuaje bonge hivyo aseee