cabo
JF-Expert Member
- Jun 15, 2016
- 4,652
- 5,018
Mlifikiria forex ni maharage eeehh ile ni nyama ya harusini ya uswazi ngumu kama nini ukivuta unampiga mpaka wa pembeni yako
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
basi hata sportpesa na mbet nazo ni fursa 😂😂😂Madame, forex trading ni fursa kweli kweli sema nae alipenyeza fursa yake haha
Sent using Jamii Forums mobile app
safi sanaAisee hahaaaaa...kuna ndugu yangu anajifanyaga jinias sana nikamwambia nina dola mia tatu. Nikikupa ktk hiyo forex yako unanirudishia shi ngapi? Yeye anasisitiza kusoma vitabu nikamwambia we si umesoma? Na unasema INA faida zalisha hii 300 USD basi.....mara ya mwisho kaniambia kafungua duka kapiga chini forex hahaaa....
Forex is not for me, I guess I am the everyone.
Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo