Word
JF-Expert Member
- Nov 4, 2016
- 1,356
- 3,232
Kwa lot ya 0.01 unakusanya pips ngapi kwa siku mkuu? Vipi ukiweka 1.30?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kichwa kigumu naazaje kuelewa forex ππππππ πππ ukilaza umenisaidia πππππππππ
Kweli ukilaza umesaidia.Kichwa kigumu naazaje kuelewa forex ukilaza umenisaidia
Pips mbili uwo utani labda iwe lot ya kumi ndo ntaweza kuchukua pips mbili lakini sio kwa lot ya 0.01 apo ntakuwa nacheza
Komando anapenda pensi sana, au ana miguu mizuri hahahaaaaaaaMajuzi kati alichoma usd13elfu na senti senti
Madame uko vizurii unatumia 1.30...mimi hata 0.30 sijawahi kutumiaKwa lot ya 0.01 unakusanya pips ngapi kwa siku mkuu? Vipi ukiweka 1.30?
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee hahaaaaa...kuna ndugu yangu anajifanyaga jinias sana nikamwambia nina dola mia tatu. Nikikupa ktk hiyo forex yako unanirudishia shi ngapi? Yeye anasisitiza kusoma vitabu nikamwambia we si umesoma? Na unasema INA faida zalisha hii 300 USD basi.....mara ya mwisho kaniambia kafungua duka kapiga chini forex hahaaa....Kichwa kigumu naazaje kuelewa forex ukilaza umenisaidia
Namzingua tuu hiyo jeuri sinaMadame uko vizurii unatumia 1.30...mimi hata 0.30 sijawahi kutumia
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama kachumbari flaniIla huyu jamaa kuna wakati kama simsomi hivi..yaani dizaini kama nanihii hivi..
Khantwe uwe unawaeleweshe huko upande wa piliMadame, forex trading ni fursa kweli kweli sema nae alipenyeza fursa yake haha
Sent using Jamii Forums mobile app
Chill and relax. Forex is a real business sema kampun nyingi ndio zinafanya ionekane scam thingUkawa una dream kununua private jet hahah
Sent from my iPhone using JamiiForums
HahahaaaaView attachment 992145
View attachment 992151
View attachment 992152
Yule jamaa maarufu miaka ya 2017 anawasalimuni nyooote.
Anawaangalia tu huku anasema hiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
Kichwa kigumu naazaje kuelewa forex ππππππ πππ ukilaza umenisaidia πππππππππ