Bilionea Asigwa
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 16,510
- 28,416
Yule jamaa maarufu miaka ya 2017 anawasalimuni nyooote.
Anawaangalia tu huku anasema hiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
Ha ha ha ha
basi mwambie asubiri kitachompataHa ha ha ha
Hela anasema zishaisha aseee.
The man himself...
teh teh teh
Tumroge tu, God will understandteh teh teh
Kwamba tukamroge au??
wani Sheikh Sharifu Majini bado yupo??
ana maanisha uliliwa?
Kama kalegea hivi,ajikaze kama maana basiIla huyu jamaa kuna wakati kama simsomi hivi..yaani dizaini kama nanihii hivi..
Huwezi kumjua huyu we bado mgeni.Write your reply...Ndo nan?au wanasemaga Aslay ndo uyu?