Mwana jf mwenye uhitaji wa wheelchair!!


P

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Messages
40,019
Likes
8,875
Points
280
P

Pdidy

JF-Expert Member
Joined Nov 22, 2007
40,019 8,875 280
Wapendwa katika bwana
mnamo tar 6january 2011 bibi yangu alikatwa mguu pale aghakan hosptital
kwa mapenzi a mungu nilibahatika kumnunulia wheelchair ya kusukumwa ni nzuri
mpya nilichukua pale posta

kwa mapenzi ya mungu hayo hayo mungu alimtwaa bibi yangu kipenzi luise mneney julai
2013 kwa mnaokumbuka nilikuja kuomba maombi yenu hapa akiwa hoi

imenipendeza kushukuru kwa kila jambo maana mungu ndie anaetoa na ndie anachukua
basi ni vyema kuna mhitaji na nimeona kutoa baraka zangu kwa yule mwana jf anaeitaji wheelchair

ipo moja na mungu atuongoze pale kwenye kutoa ndugu..kuna wahitaji wengi sana ni wakati muafaka kusaidia si hivi tu hata chochote ulichonacho unahisi kumbariki mtu ...unaruhusiwa kuniunga mkono kuweka hapa na amini wapo wahitaji watakuja hapa na mungu atakubariki

naomba ni pm
 

Forum statistics

Threads 1,251,865
Members 481,917
Posts 29,788,241