Mwana JF maarufu ni yupi?

Kunde ekeke yuko wapi.wapi Mzizi Mkavu. Faiza fox mtetezi wa wale wa imani ile. Islamabad mtetezi wa wahaya na kagera nzima. Wyatt matthewson? wa ughaibuni (huyu ana lugha kali ukimchanganya). Ruttashobolwa mtetezi wa kijani
 
Naungana na wewe kama kura inaenda kwa mganga majukwaa yote utamkuta kaandika na thread zake nyingi ni useful mfano mmu ile post ya malezi ya watoto, zingine za kuchangamsha kama ile ya walipa kodi ipo habari na hoja mchanganyiko, huyu mganga anacover sehemu nyingi wengine utawakuta maarufu jukwaa letu pendwa lile la chini kabisa, shogangu Shunie yeye maarufu mmu.
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom