Mwana jf katika maisha yako umeshawahi kumwombea shetani??

wamadish

JF-Expert Member
Jan 17, 2013
438
195
Husika na kichwa cha habari hapo juu, je mwana jf umeshawahi kumwombea shetani? au huwa unamkemea, kwa yale mabaya anayokucause uyafanye? na je nikuulize swali mwana jf hivi unadhani ukitenda mambo yasiyompendeza mungu je shetani hufurahi au hukasirika? nakaribisha maswali na michango,,,, sorce kitabu kinaitwa the power of satan!
 
Kibo10

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
11,288
2,000
Maswali mepesi mno toka lini shetani ukamtii mungu akafurahi?
Hamna dini imetufundisha hivyo pamoja na kuwa dini na imani zipo za aina nyingi hapa duniani
Au wewe mwenzetu ndio shetani unafanya utafiti kama ni watu wangapi hapa jf wanakuunga mkono kwa maovu yako?
Jf yote ni ya watu wa mungu tofauti ni dini tunazotumia tu kumwamini na kumwabudu mungu
Umefeli mfuasi wa sheta kwa maswali yako ya vipimo!
 
wamadish

JF-Expert Member
Jan 17, 2013
438
195
kibo 10 mimi sio mfuasi wake lakini katika mada husika nimeweka sorce na pia nimeweka mjadala tujadiliane, sidhani km kuna sababu ya wewe kuniita mimi shetani nakuomba uisome mada tena kisha uielewe mkuu!
 
The Monk

Platinum Member
Oct 12, 2012
15,109
2,000
Kumwombea shetani ili afanyaje ndugu?
Mimi chanzo changu kinachomtaja shetani ni Biblia, na inaeleza kwamba aliasi, akato;ewa kuwa sehemu ya kujumuika na Mungu na malaika zake, na anasubiria hukumu.

Unamaanisha nimuombee ili asamehewe au?
 
Kibo10

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
11,288
2,000
kibo 10 mimi sio mfuasi wake lakini katika mada husika nimeweka sorce na pia nimeweka mjadala tujadiliane, sidhani km kuna sababu ya wewe kuniita mimi shetani nakuomba uisome mada tena kisha uielewe mkuu!

Rejea andiko lako nimekuambia maswali mepesi!
 
wamadish

JF-Expert Member
Jan 17, 2013
438
195
samaritan kama wewe ni mkristo kitabu utumiacho ni biblia je umeshasoma habari za ayubu pamoja na uwadui wa mungu na shetani lakini waliongea na shetani akamwambia mungu ya kuwa mtumishi wako ayubu anakuabudu kwa kuwa umembariki na kumpa mali, sikumbuki ni mstari upi ndipo mungu akamruhusu amjaribu lakini asiguse roho yake, je hapo vp? hawaongei friendly aya tuje kwenye swali lako kwa nini umwombee ni maelezo marefu kidogo ngoja naendelea, ila naomba mkumbuke sorce the power of satan sio maneno yangu ni kutoka kitabu hicho
 
chaUkucha

JF-Expert Member
May 28, 2012
3,373
2,000
Husika na kichwa cha habari hapo juu, je mwana jf umeshawahi kumwombea shetani? au huwa unamkemea, kwa yale mabaya anayokucause uyafanye? na je nikuulize swali mwana jf hivi unadhani ukitenda mambo yasiyompendeza mungu je shetani hufurahi au hukasirika? nakaribisha maswali na michango,,,, sorce kitabu kinaitwa the power of satan!

shetani ndo nani?
 
Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
148,435
2,000
kibo 10 mimi sio mfuasi wake lakini katika mada husika nimeweka sorce na pia nimeweka mjadala tujadiliane, sidhani km kuna sababu ya wewe kuniita mimi shetani nakuomba uisome mada tena kisha uielewe mkuu!

source ina walakini huyo mwandishi wake ni mfuasi wa satanism, hata dini zisizomwamini Mungu bado hazimkubali shetani kwakuwa shetani yake ni maovu na hana jema la hata moja
 
Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
148,435
2,000
Kumwombea shetani ili afanyaje ndugu?
Mimi chanzo changu kinachomtaja shetani ni Biblia, na inaeleza kwamba aliasi, akato;ewa kuwa sehemu ya kujumuika na Mungu na malaika zake, na anasubiria hukumu.

Unamaanisha nimuombee ili asamehewe au?

kilichofungwa mbinguni na duniani pia kimefungwa
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom