WeweBila kunitaja mimi huu uzi hauna maana kabisa!
taja mkuu,, kuna zawadi.Hakuna aliyebora zaidi isipokuwa wote ni bora.
Anayepost ujinga tunajifunza
Anayepost ya maana tunayatafakari na kuyafanyia kazi.
Kwangu humu ndani wote bora, kwani mwerevu anaweza kujifunza zaidi kutokana na mambo ya kijinga kuliko mjinga kujifunza kutokana na mambo ya busara.
Hivyo kila mmoja humu ni muhimu na ana nafasi yake katika kuiendeleza jamiiforums.