Uchaguzi 2020 Mwana JF, be the first to know kuwa CCM ndio mshindi wa jumla wa Uchaguzi huu

Haujasema kitu kipya Pascal. Mifumo na taratibu zetu za uchaguzi ni zilezile. Matokeo pia hasa ya urais yatakuwa yaleyale. Kilichokuwa kinatakiwa ni 'ushindi' wa 90% au zaidi. Huo nao utapatikana tu.
 
Na isitoshe,hatuna chombo huru cha kusimamia na kuendesha uchaguzi ulio huru na wa haki hivyo huna uhalali wa kusema kuwa CCM atashinda.
 
Mi nimepapenda hapo kwenye mshahara wa 1M mwaka 95..
Noma noma.
Kwann hujawa mfanya biashara mkubwa leo hii??!😑

Pascal atafanya Biashara gani huyo? Alianza na Mwandishi wa Habari, kaacha akaenda kusomea Sheria akaacha, karudi kwenye Media, kaacha kataka kwenda kwene Siasa kushindwa.Leo ameanza kupiga ramli kuwa Magufuli atakuwa mshindi.. !!
 
Mwandishi wa kwanza kuangushwa na Gupikipiki gukubwa barabarani ya lami na kuvunjika Mikono mbona husemi, Mjukuu wa Mwanamarundi, Operation gani? ulikuwa weye pale Makutu?

Huwezi shinda Range wakati tuliotoka Tabora Boys tupo! katoke! nk, na tulikuwa tuko HQ. wewe ulikuwa ''B ' coy tena serure wa kudumu utapiga gwaride la wapi?!!!
,
Sahau John Pombe Magufuli Kamwe hataongoza nchi hii tena watu hawamtaki. japo amefanya mazuri meengi, lkn watanzania na Dunia hawamtaki. Zanzibar ashinde tu, lkn siyo Bara
 
CV yako haiondoi ukweli kuwa uko biased!

Isitoshe,hatuna chombo huru cha kusimamia na kuendesha uchaguzi ulio huru na wa haki hivyo huna uhalali wa kusema kuwa CCM atashinda.

Kazi yako kubwa hapa JF ni kufanya propaganda kwa lengo la kutaka kuwaaminisha watu(kuwaanda kisaikolojia) kuwa CCM itashinda kihalali wakati ukweli unaujua.

Mtu anayeogopa ushindani ndani ya chama chake ndio unakuja kutuambia atashinda?
Yeye mwenyewe anajua ukweli sema njaa na umasikini vinamsumbua
 
CV yako haiondoi ukweli kuwa uko biased!

Isitoshe,hatuna chombo huru cha kusimamia na kuendesha uchaguzi ulio huru na wa haki hivyo huna uhalali wa kusema kuwa CCM atashinda.

Kazi yako kubwa hapa JF ni kufanya propaganda kwa lengo la kutaka kuwaaminisha watu(kuwaanda kisaikolojia) kuwa CCM itashinda kihalali wakati ukweli unaujua.

Mtu anayeogopa ushindani ndani ya chama chake ndio unakuja kutuambia atashinda?
Huyo nae ni mtu wa ovyo
 
Back
Top Bottom