Uchaguzi 2020 Mwana JF, be the first to know kuwa CCM ndio mshindi wa jumla wa Uchaguzi huu

Sinaga chama chochote but I serve the realm, my loyalty lies to my country Tized. I don't care nani kaka pale juu kuongoza taifa bali anategemeka na wananchi? Anafanya yale wananchi walotegemea kuyafanya Kipatriot?

Haya maneno yanaweza kuwa sahihi, lakini michango yako niliisoma kama 60 hivi, na kama Pascal. N asababu nilitaka kujua kwa nini nyinyi ni Platinum members.

Uncle michango inakuhukumu. Mayala kwenda CCM sishangai na naamini kati ya wana JF waliokuwa wakimwambia kila wakati atake side naamini atathibitisha mimi ni mmoja wao.
In politics everybody has a side.
 
Mtitiririko wako wamatukio umekaa vizuri sana nakupongeza kwa hayo yote na kwa Utumishi wako wa muda mrefu, lakini conclusion yako inaukakasi na imenipa mashaka makubwa sana sikutegemea kwa mtu mwenye weledi wako na LL.B Hons from UDSM utasupport upumbavu unaoendelea katika nchi yetu.

Ni kweli huenda Degree ya LL.B haikuweza kuwa na manufaa kwako ndo maana hata watu wa Kawe wakaliona hilo na hawakusita kukuonyesha hilo kwa kukupiga chini.

Endelea tu na uandishi wa habari kwani nahisi ndicho alichokupangia Mungu uku kwingine unakurupuka kurupuka tu sio siri. Yaani kwa kujisifu na kwa mtiririko wa matukio nilidhani wewe ndo utakuwa kifua mbele kuwahimiza watu katika kujua, kupinga ukiukwaji wa sheria na kuhimiza kusimamia haki na pia kupinga ukiukwaji wa katiba yetu au hata kuwa kifua mbele katika mapendekezo ya katiba mpya katika nchi yetu kwa “Maslahi mapana ya Taifa” kama unavyodai katika kila thread zako nilizokuwa nikifatilia kwetu sisi na kwa vizazi vinavyokuwa ila imekuwa tofauti sana kwani umeshindwa kuficha hisia zako na nimesikitishwa kwa jambo hilo mno kwani umekuwa ni limbukeni wa mabarababara na Fly over kwa Miaka 5 na kusahau kwa Miaka yote hakukuwa na chama chochote madarakani zaidi ya chama unachojinadi kuwa kada kwa Miaka takribani 50 iliyopita na phase ya kujenga na kuleta vitu hivyo ilipaswa tuwe tumeshapita huko.

I was wondering why you had to be selected and to come first at everything and also to be a representative journalist wa Nchi katika shughuli mbalimbali kama ulivyotaja hapo juu ila baada ya kuevalute the system inapenda kuwa praised then nikapata majibu ya maswali yangu kwanini uliweza ulifit in. Na sikushangai kwa kupigania tumbo lako pia huenda ukaonekana ili uweze kutimiza hazma yako yakuwa mbunge hata kwenye vile viti kumi endapo Mgombea wako akishinda. Hivyo pambana.

Eti “ Nawatakia maandalizi mema ya October 28, sio kwenda kuchagua, bali tuu kuthibisha kukamilisha mchakato”.

And you still brag to hold a Honorable degree of LLB this is a disgrace and embarassment to the intellectual proffesion.

Rizak Hussein , pole sana hichi kitu nakisikia mara kwa mara kwa opposition wenzangu, nakuwa mvivu wakati mwingi kuelezea ufasaha wake, nataka nikufahamishe: The best brain in this land iko CCM, walio soma na kufaulu kawaida tuu wengi ndio wako opposition.
 
Mimi hili si tabiri ... MAGUGULI ANASHINDA KWA ASILIMIA 70 ... na wabunge wa CHADEMA HAWATAZIDI na upinzani kwa ujumla hawatazidi viti 80

Kwa wabunge idadi uliyoweka ya 80 ni kubwa mnoo. Kwa hali tunayo kwenda nayo sidhani hata kama 15 bara watafika, labda visiwani 17. Uchaguzi huu ndio utakao fanya Chadema kiwe chama cha siasa.
 
Wana JF,

Maadam JF ni ukumbi wetu, na sisi humu JF, tuko members wengi, na tumefanya mengi, hivyo mimi member mwenzenu Pascal Mayalla, naomba niwe wa kwanza, kuwajulisha wana JF wenzangu, ili kuwapa ile JF advantage ya wewe kama Mwana JF, be the first to know kuwa CCM ndio inakwenda kushinda uchaguzi mkuu huu kwa a landslide victory ya ushindi wa kishindo, kwa pande zote mbili za Muungano!

Ushindi huu ni kufuatia mimi mwana JF mwenzenu, Pasco Mayalla, nimesikia sauti ndani ya moyo wangu, yaani voices from within, kuwa katika uchaguzi huu, mshindi ni CCM!. Hii voices from within, is never wrong, maana ni sauti yake yeye mwenyewe!

Sasa kwa faida ya wasionijua, mimi Pasco Mayalla, ili muweze kuamini ninachowaambia ni kitu cha kweli na ndio kinachokwenda kutokea, naomba niwape ushuhuda wa nimewahi kuwa wa kwanza kwenye mambo mengi tu, je wewe mwana JF mwenzangu, wajua mimi Mwana JF mwenzako Pasco Mayalla, nimewahi kuwa Mtanzania wa kwanza kwenye mambo mengi tuu, ikiwemo humu JF, mimi ndiye Mwana JF wa kwanza kuwa kada wa Chama Cha Siasa? Tuanzie hapa
  1. Tangu kuanzishwa kwake, japo JF ina members wengi wa fani tofauti tofauti, lakini Pascal Mayalla, ndiye member wa kwanza kuwa recognized na modes wa JF kuwa ni kada wa chama cha siasa, hivyo kwenye nikipost chochote humu JF, chini kuna maandishi hutokea automatically yameandikwa "Pasco Mayalla sasa ni Kada wa Chama cha Mapinduzi, CCM", hii haina maana humu JF, kada wa chama cha siasa ni mimi tuu peke yangu, but it just happened, mimi ndie the first member wa JF, kuwa kada wa chama cha siasa!. Japo najua tuna makada wengi humu wa vyama vya siasa, na sijawahi kuona kada yoyote akiandikwa so and so ni kada wa chama fulani, then this means, mimi ndiye the first JF member to be kada wa chama cha siasa!
  2. Tangu Primary, na sekondari, somo la siasa, nilipata A, hivyo nilikuwa wa kwanza kwenye siasa, hata Chuo Kikuu, UDSM, kitivo cha sheria, somo la Katiba, lilifundishwa na Prof. Shivji, mimi somo lake nilipata A, na hata degree yangu ya sheria LL.B ya UDSM ni (hons), na iko tuu kabatini, mimi nikiendelea kuwa mwandishi wa habari, na inawezekana mimi ndie mwandishi wa habari wa kwanza, mwenye LL.B Hons, ambaye naendeleo kuandika and get nothing, badala ya kuwa wakili na kupiga pesa ndefu!.
  3. Nilipokuwa JKT Makotupora kwa mujibu wa sheria, mimi ndiye niliongoza somo la Range, na Parade, kwenye kupiga parade mwendo wa haraka, wakati wa kutoa heshima, mguu wangu huku umenyooka, ulipiga heshima kwa 90 degrees, hivyo kumaliza JKT, niliunganishwa moja kwa moja kujiunga na JWTZ, kule tukapigishwa depo mpya, kwa vile wito wangu haukuwa kuwa mjeda, niliaga rasmi JWTZ, nikajiunga na TSJ kusomea uandishi wa habari.
  4. Baada ya kuhitimu TSJ, nikajinga na RTD, kule nikashauriwa niende newsroom, kwasababu enzi hizo, kwasababu nilipenda utangazaji, nikawa ni mtangazaji wa kwanza wa RTD kuingia utangazaji na Diploma, enzi hizo watangazaji wengi ni form IV tuu.
  5. Nikiwa RTD, enzi hizo tukilipwa mshahara dirishani, kuna mahali moyo wangu ulimdondokea mtu, hivyo kuna siku baada ya kupokea bahasha ya mshahara, nilimkabidhi mtu, bahasha hiyo hivyo ilivyo, hivyo kuwa mtangazaji mpya wa kwanza aliye ...mshahara wake wote shauri ya kupenda!
  6. Nilijiunga Televisheni ya DTV mwaka 1995, na mimi ndie mtangazaji wa kwanza wa TV Tanzania kuhost TV Talk Show, ikiitwa "Mada Moto" kuzungumzia uchaguzi wa kwanza wa vyama vingi. Kipindi hicho, kiliandaliwa na Mjerumani mmoja akiitwa Wolfgang Baraniek akishirikiana na Mtanzania, Beatrice Mugishagwe na kilidhaminiwa na wafadhili mbalimbali wa kimataifa, nilikuwa navuta TZS 1.M, mwaka 1995!, naomba msiniulize nilifanyia nini hizo pesa, ila mwaka huo ndio nilioa, na honeymoon yangu ni London nchini Uingereza!.
  7. Mimi ndio mwandishi wa Kwanza kutangaza matokeo yasiyo rasmi ya Uchaguzi Mkuu wa Zanzibar ile 1995 kana kupelekae sheria kutungwa ni marufuku media kutangaza matokeo ya urais yasiyo rasmi
  8. Baada ya uchaguzi, ndipo Nikachukuliwa na Masai Studios, kuendesha kipindi cha Kiti Moto, nikiwa tena pioneer host wa talk shows za ukumbini, reality show.
  9. Mimi ndiye mwandishi wa kwanza wa Tanzania kuripotia Local TV, mikutano ya UNGA from New York kwa miaka mitano mfulululizo.
  10. Mimi ndiye mwandishi wa mwisho kufanya mahojiano na Baba wa Taifa kabla hajaugua, ambayo tuliyafanya The Bundes House, nchini Uswisi, na mimi ndiye mwandishi pekee wa Tanzania aliyekwenda kumtembelea Mwalimu hospitali ya St. Thomas inchini Uingereza, na kisha kuja kumzika Mwitongo.
  11. Mimi ndie the first journalist kutumia big bike kukusanyia habari, bike yangu ilikuwa kubwa na haina kiti cha abiria bali ina sanduku lenye video camera na still camera.
  12. Ni mimi ndie mwandishi wa kwanza kuripoti vurugu za Mwembe Chai.
  13. Mimi ndio mwandishi wa kwanza kuripoti vurugu za uchaguzi wa Zanzibar na kutiwa ndani kituo cha Mwembe Madema na Ali Saleh wa BBC
  14. Mimi ndiye mwandishi wa kwanza wa Tanzania kufanya VJ, yaani video journalist, unaandika mwenyewe, unapiga picha mwenyewe, unajirekodi mwenyewe, una edit mwenyewe, na unatuma story yenye piece to camera huku kila kitu umefanya mwenyewe
  15. Mimi ndiye mwandishi wa kwanza wa private media, kuandamana na misafara ya ziara za rais nje ya nchi, hivyo nimeandamana na rais Mkapa, na JK katika ziara kibao, kutokana na uwezo wa multi task.
  16. As a freelance journalist, mimi ndiye freelance wa kwanza nchini Tanzania kualikwa press conference za Ikulu, na kuuliza maswali magumu.
  17. Mimi ndio mwandishi wa kwanza wa habari nchini Tanzania, kuitwa na Kamati ya Bunge na kuhojiwa kutokana na Makala Zangu
  18. Humu JF, mimi ndiye mtu wa kwanza kuwaeleza watu humu Magufuli ndio atakuwa rais 2015!. Elections 2015 - Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" John Pombe Magufuli
  19. Mimi ndio the 1st kuwaeleza watu humu Makonda atakuwa RC wa DSM. Nimemkubali Sana DC Makonda, anafaa kuwa Mkuu wa Mkoa Dar es Salaam
  20. Mimi ndio the first kuwaeleza watu humu kuwa Mwanasheria mkuu wa Zanzibar atafutwa kazi. Dr. Shein Mfute Kazi Haraka, Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar Kabla Hajamwaga Sumu Hii
  21. Kwenye siasa, mimi ndiye mwandishi wa kwanza kuaga rasmi fani ya uandishi na kusema nitajiunga na siasa. Nimeamua Kustaafu Rasmi JF, Utangazaji na Uandishi wa Habari Baada ya Kuhudumu Miaka 30. Niko Free Kujiunga Siasa, Nimejiunga CCM na Nitagombea Ubunge
  22. Siku naanga rasmi media, mimi ni mwandishi wa kwanza kuaga rasmi from studio nikiwa live.
  23. Kumbe kuwa the 1st, pia kuna faida zake na hasara zake, kufuatia kuwa the 1st kwenye mengi, nilipojitokeza kutangaza nia Kawe, baada ya kupata the 1 vote, ikagomea hapo hapo!
  24. Kuna mambo mengi nimeyaeleza humu na yakatokea,
  25. Hivyo leo ninapowaeleza humu mshindi wa uchaguzi huu ni JPM na CCM, naombeni mniamini, na kwa msio amini, subirini October 28 ndipo mtaamini.

Nawatakia maandalizi mema ya October 28, sio kwenda kuchagua, bali kwenda tuu kuthibisha kilichochaguliwa tayari kwa ajili tuu ya kukamilisha taratibu za mchakato wa kukamilisha uchaguzi, kama ni kuchagua, watu siku nyingi, wameisha chagua mioyoni mwao, tarehe 28 ni kukamilisha tuu taratibu.

Pasco,
The First

Mimi ndie, mimi ndie, mimi ndie wa kwanza wa kwanza.........full of sh!t. Full of umimi. It doesn't help kujimwambafai does it?!

Kwenu nyie uongozi wa JF. Hii title ya thread ibadilisheni. Ibadilisheni kabisa maana if you read between the lines huyu jamaa kama vile anatangaza CCM imeongoza. Ki maadili this isn't right. Jf msitake ni confirm mawazo yangu ya nafsi kwangu kua nyie siku hizi mmekamatwa mkakamitika haswa. Tunachorwa tu humu ndani. If you know what I mean.

Ukiangalia huyu njaa ni kama vile kaanzisha huu uzi kwa kua anapenda kua the first to the first to ......baada matokeo kutangazwa siku hata za mbele atakuja kui quote hii post kwamba yeye ndie wa kwanza kutangaza CCM imeshinda. Whoever wins sawa lakini nyuzi zenye heading tata kama hizi mu edit hizo title. Anyhow who am I to advise you JF after all CCM has everything at hand, leaning towards them is understandable though it isn't health when it comes to level playing field or rather justice.
 
Umejitahidi sana safari hii. Ukikosa u-DC, katambike kwa kulala na mamk.
Wana JF,

Maadam JF ni ukumbi wetu, na sisi humu JF, tuko members wengi, na tumefanya mengi, hivyo mimi member mwenzenu Pascal Mayalla, naomba niwe wa kwanza, kuwajulisha wana JF wenzangu, ili kuwapa ile JF advantage ya wewe kama Mwana JF, be the first to know kuwa CCM ndio inakwenda kushinda uchaguzi mkuu huu kwa a landslide victory ya ushindi wa kishindo, kwa pande zote mbili za Muungano!

Ushindi huu ni kufuatia mimi mwana JF mwenzenu, Pasco Mayalla, nimesikia sauti ndani ya moyo wangu, yaani voices from within, kuwa katika uchaguzi huu, mshindi ni CCM!. Hii voices from within, is never wrong, maana ni sauti yake yeye mwenyewe!

Sasa kwa faida ya wasionijua, mimi Pasco Mayalla, ili muweze kuamini ninachowaambia ni kitu cha kweli na ndio kinachokwenda kutokea, naomba niwape ushuhuda wa nimewahi kuwa wa kwanza kwenye mambo mengi tu, je wewe mwana JF mwenzangu, wajua mimi Mwana JF mwenzako Pasco Mayalla, nimewahi kuwa Mtanzania wa kwanza kwenye mambo mengi tuu, ikiwemo humu JF, mimi ndiye Mwana JF wa kwanza kuwa kada wa Chama Cha Siasa? Tuanzie hapa
  1. Tangu kuanzishwa kwake, japo JF ina members wengi wa fani tofauti tofauti, lakini Pascal Mayalla, ndiye member wa kwanza kuwa recognized na modes wa JF kuwa ni kada wa chama cha siasa, hivyo kwenye nikipost chochote humu JF, chini kuna maandishi hutokea automatically yameandikwa "Pasco Mayalla sasa ni Kada wa Chama cha Mapinduzi, CCM", hii haina maana humu JF, kada wa chama cha siasa ni mimi tuu peke yangu, but it just happened, mimi ndie the first member wa JF, kuwa kada wa chama cha siasa!. Japo najua tuna makada wengi humu wa vyama vya siasa, na sijawahi kuona kada yoyote akiandikwa so and so ni kada wa chama fulani, then this means, mimi ndiye the first JF member to be kada wa chama cha siasa!
  2. Tangu Primary, na sekondari, somo la siasa, nilipata A, hivyo nilikuwa wa kwanza kwenye siasa, hata Chuo Kikuu, UDSM, kitivo cha sheria, somo la Katiba, lilifundishwa na Prof. Shivji, mimi somo lake nilipata A, na hata degree yangu ya sheria LL.B ya UDSM ni (hons), na iko tuu kabatini, mimi nikiendelea kuwa mwandishi wa habari, na inawezekana mimi ndie mwandishi wa habari wa kwanza, mwenye LL.B Hons, ambaye naendeleo kuandika and get nothing, badala ya kuwa wakili na kupiga pesa ndefu!.
  3. Nilipokuwa JKT Makotupora kwa mujibu wa sheria, mimi ndiye niliongoza somo la Range, na Parade, kwenye kupiga parade mwendo wa haraka, wakati wa kutoa heshima, mguu wangu huku umenyooka, ulipiga heshima kwa 90 degrees, hivyo kumaliza JKT, niliunganishwa moja kwa moja kujiunga na JWTZ, kule tukapigishwa depo mpya, kwa vile wito wangu haukuwa kuwa mjeda, niliaga rasmi JWTZ, nikajiunga na TSJ kusomea uandishi wa habari.
  4. Baada ya kuhitimu TSJ, nikajinga na RTD, kule nikashauriwa niende newsroom, kwasababu enzi hizo, kwasababu nilipenda utangazaji, nikawa ni mtangazaji wa kwanza wa RTD kuingia utangazaji na Diploma, enzi hizo watangazaji wengi ni form IV tuu.
  5. Nikiwa RTD, enzi hizo tukilipwa mshahara dirishani, kuna mahali moyo wangu ulimdondokea mtu, hivyo kuna siku baada ya kupokea bahasha ya mshahara, nilimkabidhi mtu, bahasha hiyo hivyo ilivyo, hivyo kuwa mtangazaji mpya wa kwanza aliye ...mshahara wake wote shauri ya kupenda!
  6. Nilijiunga Televisheni ya DTV mwaka 1995, na mimi ndie mtangazaji wa kwanza wa TV Tanzania kuhost TV Talk Show, ikiitwa "Mada Moto" kuzungumzia uchaguzi wa kwanza wa vyama vingi. Kipindi hicho, kiliandaliwa na Mjerumani mmoja akiitwa Wolfgang Baraniek akishirikiana na Mtanzania, Beatrice Mugishagwe na kilidhaminiwa na wafadhili mbalimbali wa kimataifa, nilikuwa navuta TZS 1.M, mwaka 1995!, naomba msiniulize nilifanyia nini hizo pesa, ila mwaka huo ndio nilioa, na honeymoon yangu ni London nchini Uingereza!.
  7. Mimi ndio mwandishi wa Kwanza kutangaza matokeo yasiyo rasmi ya Uchaguzi Mkuu wa Zanzibar ile 1995 kana kupelekae sheria kutungwa ni marufuku media kutangaza matokeo ya urais yasiyo rasmi
  8. Baada ya uchaguzi, ndipo Nikachukuliwa na Masai Studios, kuendesha kipindi cha Kiti Moto, nikiwa tena pioneer host wa talk shows za ukumbini, reality show.
  9. Mimi ndiye mwandishi wa kwanza wa Tanzania kuripotia Local TV, mikutano ya UNGA from New York kwa miaka mitano mfulululizo.
  10. Mimi ndiye mwandishi wa mwisho kufanya mahojiano na Baba wa Taifa kabla hajaugua, ambayo tuliyafanya The Bundes House, nchini Uswisi, na mimi ndiye mwandishi pekee wa Tanzania aliyekwenda kumtembelea Mwalimu hospitali ya St. Thomas inchini Uingereza, na kisha kuja kumzika Mwitongo.
  11. Mimi ndie the first journalist kutumia big bike kukusanyia habari, bike yangu ilikuwa kubwa na haina kiti cha abiria bali ina sanduku lenye video camera na still camera.
  12. Ni mimi ndie mwandishi wa kwanza kuripoti vurugu za Mwembe Chai.
  13. Mimi ndio mwandishi wa kwanza kuripoti vurugu za uchaguzi wa Zanzibar na kutiwa ndani kituo cha Mwembe Madema na Ali Saleh wa BBC
  14. Mimi ndiye mwandishi wa kwanza wa Tanzania kufanya VJ, yaani video journalist, unaandika mwenyewe, unapiga picha mwenyewe, unajirekodi mwenyewe, una edit mwenyewe, na unatuma story yenye piece to camera huku kila kitu umefanya mwenyewe
  15. Mimi ndiye mwandishi wa kwanza wa private media, kuandamana na misafara ya ziara za rais nje ya nchi, hivyo nimeandamana na rais Mkapa, na JK katika ziara kibao, kutokana na uwezo wa multi task.
  16. As a freelance journalist, mimi ndiye freelance wa kwanza nchini Tanzania kualikwa press conference za Ikulu, na kuuliza maswali magumu.
  17. Mimi ndio mwandishi wa kwanza wa habari nchini Tanzania, kuitwa na Kamati ya Bunge na kuhojiwa kutokana na Makala Zangu
  18. Humu JF, mimi ndiye mtu wa kwanza kuwaeleza watu humu Magufuli ndio atakuwa rais 2015!. Elections 2015 - Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" John Pombe Magufuli
  19. Mimi ndio the 1st kuwaeleza watu humu Makonda atakuwa RC wa DSM. Nimemkubali Sana DC Makonda, anafaa kuwa Mkuu wa Mkoa Dar es Salaam
  20. Mimi ndio the first kuwaeleza watu humu kuwa Mwanasheria mkuu wa Zanzibar atafutwa kazi. Dr. Shein Mfute Kazi Haraka, Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar Kabla Hajamwaga Sumu Hii
  21. Kwenye siasa, mimi ndiye mwandishi wa kwanza kuaga rasmi fani ya uandishi na kusema nitajiunga na siasa. Nimeamua Kustaafu Rasmi JF, Utangazaji na Uandishi wa Habari Baada ya Kuhudumu Miaka 30. Niko Free Kujiunga Siasa, Nimejiunga CCM na Nitagombea Ubunge
  22. Siku naanga rasmi media, mimi ni mwandishi wa kwanza kuaga rasmi from studio nikiwa live.
  23. Kumbe kuwa the 1st, pia kuna faida zake na hasara zake, kufuatia kuwa the 1st kwenye mengi, nilipojitokeza kutangaza nia Kawe, baada ya kupata the 1 vote, ikagomea hapo hapo!
  24. Kuna mambo mengi nimeyaeleza humu na yakatokea,
  25. Hivyo leo ninapowaeleza humu mshindi wa uchaguzi huu ni JPM na CCM, naombeni mniamini, na kwa msio amini, subirini October 28 ndipo mtaamini.

Nawatakia maandalizi mema ya October 28, sio kwenda kuchagua, bali kwenda tuu kuthibisha kilichochaguliwa tayari kwa ajili tuu ya kukamilisha taratibu za mchakato wa kukamilisha uchaguzi, kama ni kuchagua, watu siku nyingi, wameisha chagua mioyoni mwao, tarehe 28 ni kukamilisha tuu taratibu.

Pasco,
The First
 
Tundu Lisu anaondoka kwenda Ulaya baada ya Uchaguzi, akifika huko atajitangaza mshindi wa Uchaguzi na Raisi wa JMTZ na kuunda Baraza lake la Mawaziri, haikuwa bahati mbaya Mbowe kusema atakuwa Waziri Mkuu baada ya Oktoba 28, sasa sijui wamejipanga vipi (chadema) lkn nijuavyo mimi ni Uhaini na adhabu yake ni Kifo.
Hiyo chuki yako ni kutoka kwa shetani mwenyewe
 
Kama ulishindwa kusikia sauti moyoni mwako kuwa utaenda kushindwa kwa aibu kwenye kura za maoni Kawe unapata wapi ndoto za kusikia sauti ya ushindi kwa CCM Zanzibar?
Ni raia mpuuzi tu ndio anaweza kuamini kuwa CCM itashinda Zanzibar eti kwa kishindo.
 
Paskali unawaumiza wenzio waonee huruma. JPM mbele kwa mbele wasiompenda wahame nchi . Simples ... ..... khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee ooops Simple as that!
 
Mungu ambariki lissu.

Ila taarifa za awali nilizopata zimeniuma sanaaaa, yani uchaguzi ni maigizo,matokeo yametengenezwa tayari.

Eee Mungu wewe wajua CHADEMA yangu ipo ktk namna gani mioyoni mwa watu
 
Baada ya kuona kampeni imekwisha, naona umeporomosha CV ya kutafutia uteuzi. Aiseee!!

Magufuli hawezi kushinda Uchaguzi huu, hata mke wake katika mazingira ya uhuru kabisa hawezi na hataweza kumpigia Kura.

Labda, possibly uwezekano uliopo ni yeye kutangazwa mshindi katika mazingira magumu.

Anyway, ushaanza JF Star TV lini ?
Hujui ulichokiandika. Huwezi ishinda ccm kwa siasa za porojo. Ili CCM ishindwe, lazima ipasuke kwanza sasa badala ya kupasuka ndio ipo imara zaidi ya ilivyokuwa 2015.Huyu kibaraka Lissu mnampaisha bure tu, bwabwa hana lolote la kuwapa watanzania.Chama cha Mbowe ndio mwisho wake leo..
 
Huna akili.

CCM ilishakufa tangu enzi za Nyerere.

Kilichobaki ni Dola/ Kofia ya Rais/Mwenyekiti wa Chama
 
Wana JF,

Maadam JF ni ukumbi wetu, na sisi humu JF, tuko members wengi, na tumefanya mengi, hivyo mimi member mwenzenu Pascal Mayalla, naomba niwe wa kwanza, kuwajulisha wana JF wenzangu, ili kuwapa ile JF advantage ya wewe kama Mwana JF, be the first to know kuwa CCM ndio inakwenda kushinda uchaguzi mkuu huu kwa a landslide victory ya ushindi wa kishindo, kwa pande zote mbili za Muungano!

Ushindi huu ni kufuatia mimi mwana JF mwenzenu, Pasco Mayalla, nimesikia sauti ndani ya moyo wangu, yaani voices from within, kuwa katika uchaguzi huu, mshindi ni CCM!. Hii voices from within, is never wrong, maana ni sauti yake yeye mwenyewe!

Sasa kwa faida ya wasionijua, mimi Pasco Mayalla, ili muweze kuamini ninachowaambia ni kitu cha kweli na ndio kinachokwenda kutokea, naomba niwape ushuhuda wa nimewahi kuwa wa kwanza kwenye mambo mengi tu, je wewe mwana JF mwenzangu, wajua mimi Mwana JF mwenzako Pasco Mayalla, nimewahi kuwa Mtanzania wa kwanza kwenye mambo mengi tuu, ikiwemo humu JF, mimi ndiye Mwana JF wa kwanza kuwa kada wa Chama Cha Siasa? Tuanzie hapa
  1. Tangu kuanzishwa kwake, japo JF ina members wengi wa fani tofauti tofauti, lakini Pascal Mayalla, ndiye member wa kwanza kuwa recognized na modes wa JF kuwa ni kada wa chama cha siasa, hivyo kwenye nikipost chochote humu JF, chini kuna maandishi hutokea automatically yameandikwa "Pasco Mayalla sasa ni Kada wa Chama cha Mapinduzi, CCM", hii haina maana humu JF, kada wa chama cha siasa ni mimi tuu peke yangu, but it just happened, mimi ndie the first member wa JF, kuwa kada wa chama cha siasa!. Japo najua tuna makada wengi humu wa vyama vya siasa, na sijawahi kuona kada yoyote akiandikwa so and so ni kada wa chama fulani, then this means, mimi ndiye the first JF member to be kada wa chama cha siasa!
  2. Tangu Primary, na sekondari, somo la siasa, nilipata A, hivyo nilikuwa wa kwanza kwenye siasa, hata Chuo Kikuu, UDSM, kitivo cha sheria, somo la Katiba, lilifundishwa na Prof. Shivji, mimi somo lake nilipata A, na hata degree yangu ya sheria LL.B ya UDSM ni (hons), na iko tuu kabatini, mimi nikiendelea kuwa mwandishi wa habari, na inawezekana mimi ndie mwandishi wa habari wa kwanza, mwenye LL.B Hons, ambaye naendeleo kuandika and get nothing, badala ya kuwa wakili na kupiga pesa ndefu!.
  3. Nilipokuwa JKT Makotupora kwa mujibu wa sheria, mimi ndiye niliongoza somo la Range, na Parade, kwenye kupiga parade mwendo wa haraka, wakati wa kutoa heshima, mguu wangu huku umenyooka, ulipiga heshima kwa 90 degrees, hivyo kumaliza JKT, niliunganishwa moja kwa moja kujiunga na JWTZ, kule tukapigishwa depo mpya, kwa vile wito wangu haukuwa kuwa mjeda, niliaga rasmi JWTZ, nikajiunga na TSJ kusomea uandishi wa habari.
  4. Baada ya kuhitimu TSJ, nikajinga na RTD, kule nikashauriwa niende newsroom, kwasababu enzi hizo, kwasababu nilipenda utangazaji, nikawa ni mtangazaji wa kwanza wa RTD kuingia utangazaji na Diploma, enzi hizo watangazaji wengi ni form IV tuu.
  5. Nikiwa RTD, enzi hizo tukilipwa mshahara dirishani, kuna mahali moyo wangu ulimdondokea mtu, hivyo kuna siku baada ya kupokea bahasha ya mshahara, nilimkabidhi mtu, bahasha hiyo hivyo ilivyo, hivyo kuwa mtangazaji mpya wa kwanza aliye ...mshahara wake wote shauri ya kupenda!
  6. Nilijiunga Televisheni ya DTV mwaka 1995, na mimi ndie mtangazaji wa kwanza wa TV Tanzania kuhost TV Talk Show, ikiitwa "Mada Moto" kuzungumzia uchaguzi wa kwanza wa vyama vingi. Kipindi hicho, kiliandaliwa na Mjerumani mmoja akiitwa Wolfgang Baraniek akishirikiana na Mtanzania, Beatrice Mugishagwe na kilidhaminiwa na wafadhili mbalimbali wa kimataifa, nilikuwa navuta TZS 1.M, mwaka 1995!, naomba msiniulize nilifanyia nini hizo pesa, ila mwaka huo ndio nilioa, na honeymoon yangu ni London nchini Uingereza!.
  7. Mimi ndio mwandishi wa Kwanza kutangaza matokeo yasiyo rasmi ya Uchaguzi Mkuu wa Zanzibar ile 1995 kana kupelekae sheria kutungwa ni marufuku media kutangaza matokeo ya urais yasiyo rasmi
  8. Baada ya uchaguzi, ndipo Nikachukuliwa na Masai Studios, kuendesha kipindi cha Kiti Moto, nikiwa tena pioneer host wa talk shows za ukumbini, reality show.
  9. Mimi ndiye mwandishi wa kwanza wa Tanzania kuripotia Local TV, mikutano ya UNGA from New York kwa miaka mitano mfulululizo.
  10. Mimi ndiye mwandishi wa mwisho kufanya mahojiano na Baba wa Taifa kabla hajaugua, ambayo tuliyafanya The Bundes House, nchini Uswisi, na mimi ndiye mwandishi pekee wa Tanzania aliyekwenda kumtembelea Mwalimu hospitali ya St. Thomas inchini Uingereza, na kisha kuja kumzika Mwitongo.
  11. Mimi ndie the first journalist kutumia big bike kukusanyia habari, bike yangu ilikuwa kubwa na haina kiti cha abiria bali ina sanduku lenye video camera na still camera.
  12. Ni mimi ndie mwandishi wa kwanza kuripoti vurugu za Mwembe Chai.
  13. Mimi ndio mwandishi wa kwanza kuripoti vurugu za uchaguzi wa Zanzibar na kutiwa ndani kituo cha Mwembe Madema na Ali Saleh wa BBC
  14. Mimi ndiye mwandishi wa kwanza wa Tanzania kufanya VJ, yaani video journalist, unaandika mwenyewe, unapiga picha mwenyewe, unajirekodi mwenyewe, una edit mwenyewe, na unatuma story yenye piece to camera huku kila kitu umefanya mwenyewe
  15. Mimi ndiye mwandishi wa kwanza wa private media, kuandamana na misafara ya ziara za rais nje ya nchi, hivyo nimeandamana na rais Mkapa, na JK katika ziara kibao, kutokana na uwezo wa multi task.
  16. As a freelance journalist, mimi ndiye freelance wa kwanza nchini Tanzania kualikwa press conference za Ikulu, na kuuliza maswali magumu.
  17. Mimi ndio mwandishi wa kwanza wa habari nchini Tanzania, kuitwa na Kamati ya Bunge na kuhojiwa kutokana na Makala Zangu
  18. Humu JF, mimi ndiye mtu wa kwanza kuwaeleza watu humu Magufuli ndio atakuwa rais 2015!. Elections 2015 - Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" John Pombe Magufuli
  19. Mimi ndio the 1st kuwaeleza watu humu Makonda atakuwa RC wa DSM. Nimemkubali Sana DC Makonda, anafaa kuwa Mkuu wa Mkoa Dar es Salaam
  20. Mimi ndio the first kuwaeleza watu humu kuwa Mwanasheria mkuu wa Zanzibar atafutwa kazi. Dr. Shein Mfute Kazi Haraka, Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar Kabla Hajamwaga Sumu Hii
  21. Kwenye siasa, mimi ndiye mwandishi wa kwanza kuaga rasmi fani ya uandishi na kusema nitajiunga na siasa. Nimeamua Kustaafu Rasmi JF, Utangazaji na Uandishi wa Habari Baada ya Kuhudumu Miaka 30. Niko Free Kujiunga Siasa, Nimejiunga CCM na Nitagombea Ubunge
  22. Siku naanga rasmi media, mimi ni mwandishi wa kwanza kuaga rasmi from studio nikiwa live.
  23. Kumbe kuwa the 1st, pia kuna faida zake na hasara zake, kufuatia kuwa the 1st kwenye mengi, nilipojitokeza kutangaza nia Kawe, baada ya kupata the 1 vote, ikagomea hapo hapo!
  24. Kuna mambo mengi nimeyaeleza humu na yakatokea,
  25. Hivyo leo ninapowaeleza humu mshindi wa uchaguzi huu ni JPM na CCM, naombeni mniamini, na kwa msio amini, subirini October 28 ndipo mtaamini.

Nawatakia maandalizi mema ya October 28, sio kwenda kuchagua, bali kwenda tuu kuthibisha kilichochaguliwa tayari kwa ajili tuu ya kukamilisha taratibu za mchakato wa kukamilisha uchaguzi, kama ni kuchagua, watu siku nyingi, wameisha chagua mioyoni mwao, tarehe 28 ni kukamilisha tuu taratibu.

Pasco,
The First
Mkuu Pasco kwaiyo tusiende kupiga kura matokeo tayari yapo mezani au?
 
Back
Top Bottom