Mookiesbad98
JF-Expert Member
- Feb 1, 2015
- 2,300
- 2,716
Pascal kuna kijana wangu afande sasa hivi mlikuwa nae Udsm sheria anasema ulikuwa una supplementary za kufa mtu kila mwaka ulikiwa unashikwa. Enzii hizo unakula bata pale Golden bridge night club kabla ya ajali ya big bike.