Amavubi JF-Expert Member Dec 9, 2010 30,145 13,216 Dec 21, 2013 #1 Kuna mwana JF NADHANI NI KATI YA ulimakafu AU Watu8 AMEBEWA AKIWA AMEZIRAI
mtwa mkulu JF-Expert Member Sep 11, 2013 8,098 9,994 Dec 21, 2013 #2 Vp Tulikuwa Nae Kwenye Live Ubdate! Au?
The Boss JF-Expert Member Aug 18, 2009 49,110 115,885 Dec 21, 2013 #3 ungewahi kumlindia simu yake na pesa asije kuibiwa...akalia kwa vitu viwili kufungwa na kuibiwa
Nakapanya JF-Expert Member May 22, 2012 2,096 708 Dec 21, 2013 #5 Amavubi said: Kuna mwana JF NADHANI NI KATI YA ulimakafu AU Watu8 AMEBEWA AKIWA AMEZIRAI Click to expand... hahaaaa..
Amavubi said: Kuna mwana JF NADHANI NI KATI YA ulimakafu AU Watu8 AMEBEWA AKIWA AMEZIRAI Click to expand... hahaaaa..
Amavubi JF-Expert Member Dec 9, 2010 30,145 13,216 Dec 21, 2013 Thread starter #8 mtwa mkulu said: vp tulikuwa nae kwenye live ubdate! Au? Click to expand... yah mkuu baadaye akakata network
mtwa mkulu said: vp tulikuwa nae kwenye live ubdate! Au? Click to expand... yah mkuu baadaye akakata network
Amavubi JF-Expert Member Dec 9, 2010 30,145 13,216 Dec 21, 2013 Thread starter #9 the boss said: ungewahi kumlindia simu yake na pesa asije kuibiwa...akalia kwa vitu viwili kufungwa na kuibiwa Click to expand... hivyo niliviwahi hata kabla ya kuzimia, alikua anatetemeka san
the boss said: ungewahi kumlindia simu yake na pesa asije kuibiwa...akalia kwa vitu viwili kufungwa na kuibiwa Click to expand... hivyo niliviwahi hata kabla ya kuzimia, alikua anatetemeka san
Amavubi JF-Expert Member Dec 9, 2010 30,145 13,216 Dec 21, 2013 Thread starter #10 genekai said: Ndo huyo nilomwona kwenye machela? Click to expand... punde tu nitairusha humu, lakn ndiye yeye kabisa
genekai said: Ndo huyo nilomwona kwenye machela? Click to expand... punde tu nitairusha humu, lakn ndiye yeye kabisa
Amavubi JF-Expert Member Dec 9, 2010 30,145 13,216 Dec 21, 2013 Thread starter #11 dk chache tu nitazirusha humu Fadhili Paulo said: Haujachukuwa picha zao? Click to expand...
Amavubi JF-Expert Member Dec 9, 2010 30,145 13,216 Dec 21, 2013 Thread starter #12 ALEYN said: Haya matani sasa. Click to expand... nani mtani jembe?
OKW BOBAN SUNZU Platinum Member Aug 24, 2011 49,191 103,711 Dec 21, 2013 #13 mtwa mkulu said: Vp Tulikuwa Nae Kwenye Live Ubdate! Au? Click to expand... mlikuwa nae kwny nini,Live Ubdate?
mtwa mkulu said: Vp Tulikuwa Nae Kwenye Live Ubdate! Au? Click to expand... mlikuwa nae kwny nini,Live Ubdate?
Amavubi JF-Expert Member Dec 9, 2010 30,145 13,216 Dec 21, 2013 Thread starter #14 shemeji said: mlikuwa nae kwny nini,live ubdate? Click to expand... utakua yanga wewe bila shaka, umechanganyikiwa
shemeji said: mlikuwa nae kwny nini,live ubdate? Click to expand... utakua yanga wewe bila shaka, umechanganyikiwa
CharmingLady JF-Expert Member Apr 16, 2012 18,250 12,868 Dec 21, 2013 #15 Amavubi said: Kuna mwana JF NADHANI NI KATI YA ulimakafu AU Watu8 AMEBEWA AKIWA AMEZIRAI Click to expand... Shindwa na ulegee... Hawezi kuwa daddy angu watu8, yeye yuko home na wala sio mpenzi wa football...... Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Amavubi said: Kuna mwana JF NADHANI NI KATI YA ulimakafu AU Watu8 AMEBEWA AKIWA AMEZIRAI Click to expand... Shindwa na ulegee... Hawezi kuwa daddy angu watu8, yeye yuko home na wala sio mpenzi wa football......
marejesho JF-Expert Member Jan 6, 2011 6,635 3,655 Dec 21, 2013 #16 watu8 best yangu upo salama? Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Amavubi JF-Expert Member Dec 9, 2010 30,145 13,216 Dec 21, 2013 Thread starter #17 aleyn said: haya matani sasa. Click to expand... wewe ulidhani ni makilo? Ni matani tu
Amavubi JF-Expert Member Dec 9, 2010 30,145 13,216 Dec 21, 2013 Thread starter #18 Basi atakua ulimakafu charminglady said: shindwa na ulegee... Hawezi kuwa daddy angu watu8, yeye yuko home na wala sio mpenzi wa football...... Click to expand...
Basi atakua ulimakafu charminglady said: shindwa na ulegee... Hawezi kuwa daddy angu watu8, yeye yuko home na wala sio mpenzi wa football...... Click to expand...
Amavubi JF-Expert Member Dec 9, 2010 30,145 13,216 Dec 21, 2013 Thread starter #19 charminglady said: shindwa na ulegee... Hawezi kuwa daddy angu watu8, yeye yuko home na wala sio mpenzi wa football...... Click to expand... unaniambia nishindwe wakati sisi ndio tumeshinda?
charminglady said: shindwa na ulegee... Hawezi kuwa daddy angu watu8, yeye yuko home na wala sio mpenzi wa football...... Click to expand... unaniambia nishindwe wakati sisi ndio tumeshinda?
umukurya Member Sep 2, 2013 97 18 Dec 21, 2013 #20 Wapi emmanuel okwi, wapi kaseja. Kweli kaseja kaonyesha uzalendo kwa timu yake ya asili. Utarii mwema kaseja
Wapi emmanuel okwi, wapi kaseja. Kweli kaseja kaonyesha uzalendo kwa timu yake ya asili. Utarii mwema kaseja