Mwana JF Aanzisha TV Station ya Bongo Movies, J. Kikwete Kuwaunganisha na Ma Producers wa Hollywood.

Wanabodi,

Mwana JF, Sanctus Mtsimbe, ameanzisha kituo cha TV iitwayo JTV na itajikita kuonyesha Bongo Movies, na itaonekana kupitia king'amuzi cha Star TV ambapo Rais mstaafu, Jakaya Kikwete, JK, atawasaidia Kuwaunganisha ma produces wa Bongo Movies na Ma Producers wa Hollywood ili movies za Bongo Movies, ziwe na viwango vya Hollywood.

Ahadi hiyo ya JK, imetolewa leo usiku huu kwenye uzinduzi wa Chanel ya JTV unaofanyika katika hotel ya Hyatt Kilimanjaro ambapo mgeni rasmi ni JK.

Hivi sasa JK ndio anahutubia, alikaribishwa na Waziri wa Habari, Utamaduni na Michezo, Prof. Mwakyembe.

endelea kufuatilia

Paskali

Kikwete bwana kwa kujitakia matatizo kweli anaweza.....alishindwa kuongoza nchi ila anataka kuwaunganisha maproducers wa bongo movies na wa Hollywood wakati bongo movie yenyewe haijitambui, why Kikwete?
 
Wanabodi,

Mwana JF, Sanctus Mtsimbe, ameanzisha kituo cha TV iitwayo JTV na itajikita kuonyesha Bongo Movies, na itaonekana kupitia king'amuzi cha Star TV ambapo Rais mstaafu, Jakaya Kikwete, JK, atawasaidia Kuwaunganisha ma produces wa Bongo Movies na Ma Producers wa Hollywood ili movies za Bongo Movies, ziwe na viwango vya Hollywood.

Ahadi hiyo ya JK, imetolewa leo usiku huu kwenye uzinduzi wa Chanel ya JTV unaofanyika katika hotel ya Hyatt Kilimanjaro ambapo mgeni rasmi ni JK.

Hivi sasa JK ndio anahutubia, alikaribishwa na Waziri wa Habari, Utamaduni na Michezo, Prof. Mwakyembe.

endelea kufuatilia

Paskali
Nadhani sasa ni wakati wa kufanya Sanaa! Tutunza utanzania katika filamu. Asante kwa Mwana JF ni jukwaa LA fursa.

Hakika nitafuatilia .

Asante.
Brother Paskali
 
Tv ya kuonyesha Bongo movies,God forbid ila ni utaahira 1st class.
Nadhani tunawakata moyo..watu katika tasnia ya filamu... Nilikuwa naamini Sikh zote wanazingua kwa makusudi... Ukweli ni kwamba soko au biashara ya filamu haivutii sana maana soko lake bado ni changa mno...

Hii imepelekea watu wenye vipaji na uwezo kujiweka kando wanangoja mpaka tusogee kidogo ili waingie wafanye kwa kiwango kile tunakihitaji...

Tuwasupport najua tutaona ukuaji wake tena kwa haraka tu. Tufanye kama wahindi hizo filamu zao za zamani mungu anajua ila tutafika.

Tumpe hongera JTV anajitoa sana mpk ifikie kukubalika na wote angeweza kufanya kitu kingine chochote for profit...huu ni uzalendo kiasi Fulani.. Tumpe ushirikiano tuangalie tukosoe hizo filamu ndio mwanzo Wa safari ..Au sio kiongozi.
 
Wanabodi,

Mwana JF, Sanctus Mtsimbe, ameanzisha kituo cha TV iitwayo JTV na itajikita kuonyesha Bongo Movies, na itaonekana kupitia king'amuzi cha Star TV ambapo Rais mstaafu, Jakaya Kikwete, JK, atawasaidia Kuwaunganisha ma produces wa Bongo Movies na Ma Producers wa Hollywood ili movies za Bongo Movies, ziwe na viwango vya Hollywood.

Ahadi hiyo ya JK, imetolewa leo usiku huu kwenye uzinduzi wa Chanel ya JTV unaofanyika katika hotel ya Hyatt Kilimanjaro ambapo mgeni rasmi ni JK.

Hivi sasa JK ndio anahutubia, alikaribishwa na Waziri wa Habari, Utamaduni na Michezo, Prof. Mwakyembe.

endelea kufuatilia

Paskali

' Kamarada ' hao Maprodyuza wa Bongo Movie nchini Tanzania wa kukutanishwa na wale Wenzao wa Hollywood wa nchini Marekani wako wapi? Nadhani Rais Mstaafu Kikwete angejikita Kwanza katika kuimarisha Elimu nzima ya Sanaa iwe madhubuti na akisharidhika au Sisi Wadau tukisharidhika nao hasa kupitia Kazi zao basi tunaweza kushauri au kumuunga mkono wakutanishwe na hao Wenzao wa huko Ulaya na Marekani ambao wengi wao walipata uzoefu Kitambo sana. Ninachojua tu ni kwamba 99.9% ya Maprodyuza wa Kitanzania wanachojua sana ni Kuprodyuzi tabia za ngono, Majungu, Upendeleo, Rushwa na Virusi vya UKIMWI kwa Dada zetu.
 
JK alizindua rasmi JTV , baada ya uzinduzi alivamiwa na wasanii wa Bongo Movies kupiga nae selfies na kiukweli aliwavumilia sana kwa kuwakubalia as many as possible hadi MICHUZI alipookoa jahazi kwa kumnusuru. Miongoni mwa off the record za aliyoyasema JK off mic ni pamoja na kulitaja jina la top celebrity no.1 nchini Tanzania kwa sasa, Dr. Luis Shika!, watu wakashangilia sana.

Paskali.
 
Back
Top Bottom