Shark
JF-Expert Member
- Jan 25, 2010
- 29,635
- 29,509
Leo katika kipindi cha Mkasi cha Salama katika TV ya EATV walikua wakiwahoji huyo pamoja na KBC ambao walikua wakiimba hip hop zaman katika kundi la KU CREW lakn kwa jinsi nlivyomuona EASY B sio yule ambae alikua mtaalam wa michano zaman maana amepooza na pia amekua kama kadevera flani hivi. Enzi zake alikua mchangamfu na machachari ukimkuta pale empire anapiga shoo balaa au viwanja vya don bosco. Pia alikua ni mmoja wa watoto wa kidosi sasa sijui kafikwa na nini.