Mwana FA kutumia msiba wa Ngwear kwenye biashara yake ya kupambana na Jide

Status
Not open for further replies.

Philip Dominick

JF-Expert Member
May 26, 2013
1,022
189
msanii wamuziki wa kizazi kipya hamis mwinjuma aka mwana fa amesema kuwa mapato ya show yake ya ter14 june 15% itaenda kwa familia ya marehemu ngwear

Je,huko sio kutumia jina la ngwear ili kupata sympath toka kwa mashabiki ambao weng wao wameonyesha kutokuwaunga mkono?

kwani ngwear ndo msanii peke ake aliefariki?na kwani awe ngwear wakati kuna sharo kuna bi kidude na wengne weng ambao hatunao tena?

thıs is Pathetic,Real pathetic,rip clouds fm.
 
msanii wamuziki wa
kizazi kipya hamis mwinjuma aka mwana fa amesema kuwa mapato ya show
yake ya ter14 june 15% itaenda kwa familia ya marehemu ngwear

Je,huko sio kutumia jina la ngwear ili kupata sympath toka kwa mashabiki
ambao weng wao wameonyesha kutokuwaunga mkono?

kwani ngwear ndo msanii peke ake aliefariki?na kwani awe ngwear wakati
kuna sharo kuna bi kidude na wengne weng ambao hatunao tena?

thıs is Pathetic,Real pathetic,rip clouds fm.

walishauma sana sasa wanapuliza wkt kidonda kishaoza cloudsfm wez now wanajikosha kwa kutumia msiba wa ngwea
 
walishauma sana sasa wanapuliza wkt kidonda kishaoza cloudsfm wez now wanajikosha kwa kutumia msiba wa ngwea

nimekuta mwana fatuma katweet watatoa 15%,wat for bhasi wafanye hvo na kwa artst wengne waliofark kama kweli wanajali.

ila p funk alisema,hawa jamaa wanaeza tmia msiba wa ngwear kibiashara
 
msanii wamuziki wa kizazi kipya hamis mwinjuma aka mwana fa amesema kuwa mapato ya show yake ya ter14 june 15% itaenda kwa familia ya marehemu ngwear

Je,huko sio kutumia jina la ngwear ili kupata sympath toka kwa mashabiki ambao weng wao wameonyesha kutokuwaunga mkono?

kwani ngwear ndo msanii peke ake aliefariki?na kwani awe ngwear wakati kuna sharo kuna bi kidude na wengne weng ambao hatunao tena?

thıs is Pathetic,Real pathetic,rip clouds fm.

Hebu tuache zungumzia mashoga tujikite kwenye mambo ya msingi

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Watu tuna hasira na joto nyie mnaleta unafiki hapa. Hahahahahhaaaa wazee wa fursa kweli hawa #kingkong kama nawaona vile wanavyotapatapa.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Status
Not open for further replies.
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom