Mwana FA, Fan(s)? Ni wimbo wake upi unaukumbali? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwana FA, Fan(s)? Ni wimbo wake upi unaukumbali?

Discussion in 'Celebrities Forum' started by Ismailsimba, Aug 6, 2012.

 1. I

  Ismailsimba Member

  #1
  Aug 6, 2012
  Joined: May 10, 2012
  Messages: 85
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Are you a mwana fa? fan what is your favorite song? Mine is 'lakini alikufa kwa ngoma'
   
 2. cacico

  cacico JF-Expert Member

  #2
  Aug 6, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 8,392
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  mine is 'mi na mademu damu damu'
   
 3. mndwadage

  mndwadage JF-Expert Member

  #3
  Aug 6, 2012
  Joined: Jul 15, 2012
  Messages: 345
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ingekua vipi wabongo Waende USA bila visa. Ilibamba sana hii.!!
   
 4. Likwanda

  Likwanda JF-Expert Member

  #4
  Aug 6, 2012
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 3,854
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  1.Ingekua vipi?
  2.Tuliza ball
  3.Unanisikia unisikii?
   
 5. Leonard Robert

  Leonard Robert JF-Expert Member

  #5
  Aug 6, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 9,150
  Likes Received: 2,472
  Trophy Points: 280
  mi na mademu damu damu,hawajui na unanitega
   
 6. YEYE

  YEYE JF-Expert Member

  #6
  Aug 6, 2012
  Joined: Nov 12, 2011
  Messages: 440
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  1. Ungeniambia
  2. Demu wangu wa kwanza
  3. Binamu
  4. Hawajui
  5. Alikufa kwa ngoma
  6. Mamba
   
 7. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #7
  Aug 6, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,407
  Trophy Points: 280
  Da Acha Mwana Fa alikua zamani bwana ingawa bado yupo ila namkubali na mapini ya zamani

  1.Ingekua Vp
  2.Mabinti
  3.Tuliza Ball
  4.Wanapendana
  5.Binamu 100% commercial
   
 8. YEYE

  YEYE JF-Expert Member

  #8
  Aug 6, 2012
  Joined: Nov 12, 2011
  Messages: 440
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Ninachomkubali akiamua kujisifia anajisifia hadi balaa wimbo kama 'binamu' na 'msiache kuongea', (inspekta H toka alivyojibiwa kimya hadi leo) Na akiamua kuponda ndo usiseme kama 'ungeniambia', 'bado nipo nipo'
  Tafuta wimbo wa 'demu wangu wa kwanza' kama haujawahi kusikiliza jamaa alivyolalamika hm
   
 9. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #9
  Aug 6, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,407
  Trophy Points: 280
  Jamaa anajua sana "sio mambo safi sura yangu inawaza mkwanja hustler kama ali scooper natimba kila kiwanja,I'm the magnifical napiga kazi za hatari siogopi hata mkisema yote nshasikia tayari"--Nomaaa Jamaa Jembe sema Ruge kamadidimiza kaacha kuandika miziki ya hisia!
   
 10. fakenology

  fakenology JF-Expert Member

  #10
  Aug 6, 2012
  Joined: May 3, 2012
  Messages: 766
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 45
  yote juu ni sawa ila tukubali ukweli ingawa unauma mshikaji sasa ameisha.
  kapgwa gap la ukweli na ay.
  waliozaliwa wakibisha utawaona mda c mrefu
   
 11. Gang Chomba

  Gang Chomba JF-Expert Member

  #11
  Aug 7, 2012
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 8,790
  Likes Received: 810
  Trophy Points: 280
  binafsi ni mshabiki mfurukutwa na mfiligiswa wa Juma Mohamed Mchopanga almaarufu kama Jay Moe toka kundi la wateule.

  Ila kwa kuwa hapa anazungumziwa Mwana FA na ngoma zake basi nami niseme wazi kuwa jamaa ngoma yake nayoikubali ni Wanapendana akimshirikisha mtoto wa Dar Dully Sykes.

  Anaanza kwa kusema:...
  NAPENDA VITOVU ILA NAOGOPA SHANGA
  LABDA BADO MTOTO AMA LABDA BADO MSHAMBA
  WOTE WANAVYAA VIKUKU ILI KULETA PICHA YA NGONO
  WE SUBIRI IPIGWE RAGGA UONE WANAVYOKATA MAUNO...
   
 12. Gang Chomba

  Gang Chomba JF-Expert Member

  #12
  Aug 7, 2012
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 8,790
  Likes Received: 810
  Trophy Points: 280

  nenda club siku za mabinti bure
  washkaji huwa kibao utadhani wameambiwa wasilale
  wote wanakwenda gym ili body zifutie warembo ukidhani una mbinu mabinti wana mitego
  usiamini kuwa hawataki, ila wanaelewa kwa mikogo
  wanatamani kuaproach ila wanaogopa kuitwa milupo...
   
 13. Gang Chomba

  Gang Chomba JF-Expert Member

  #13
  Aug 7, 2012
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 8,790
  Likes Received: 810
  Trophy Points: 280

  DULLY...
  Oooh no ona maajabu ya jana
  Jack na Alice Biduka ndani ya Club walipigana eti sababu yangu mbele za watu wanazozana
  Bado nasisitiza karne hii wanapendana...

  FA...
  Wamechizika marijali wanapenda ila mabinti wanazimika
  Imeshageuka, sio kutongoza tu warembo pia hulea wakikupenda na umechoka si unanielewa...
  Acha vicheche kadhaa vinavyokomalia watu
  Vyenye mapenzi ya mikwanja au majina na umaarufu ambavyo ukiwa chata tu vinaonyesha udhaifu
  Wapo wanaotongoza na bado ni waaminifu...
   
 14. Gang Chomba

  Gang Chomba JF-Expert Member

  #14
  Aug 7, 2012
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 8,790
  Likes Received: 810
  Trophy Points: 280
  Chorus:...
  Sio ajabu sio hatari jamani, hali imebadilika sio kama zamani
  Sio tu kwa malijari hata mabinti hutamani
  Hakuna anayesubiri wakati wote wako wazi no no no no no ni no....eeei
   
 15. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #15
  Aug 8, 2012
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,901
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145


  Kaka hapo namba 4 si mchezo hata mimi namkubali, dogo na alinifurahisha zaidi alipotoa bado niponipo..........
   
 16. m

  mkali mimi Member

  #16
  Aug 9, 2012
  Joined: Aug 7, 2012
  Messages: 84
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  " Unanijua unanskia?"
   
 17. Muuza Sura

  Muuza Sura JF-Expert Member

  #17
  Aug 9, 2012
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 1,990
  Likes Received: 219
  Trophy Points: 160
  Positions change nimeamini!zamani watoto wa dar es salaam na watu wenye mionekano ndo wanakimbiza!siku hizi watu wa mikoani na watu mindomo haieleweki ndo wanarun!wapi FA,TID,KABYSER,RAY C,Q CHILLA dah! mbishi kabaki tozi mchafu bichwa la ng'ombe DULLY SYKES tu ndo anakomaa nao
   
 18. Muuza Sura

  Muuza Sura JF-Expert Member

  #18
  Aug 9, 2012
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 1,990
  Likes Received: 219
  Trophy Points: 160
  Mimi na mademu damu damu ndo wimbo gani wa FA?wewe subiri watu wakumbuke nyimbo za zamani za kalikawe au jah kimbute ndo uchangie!
   
Loading...