donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,040
- 21,513
Kha, dogo alikuwa ..mbamba anatisha! Chini katinga ndala, mkono mwembamba as if .......Katoka mbali . weka na picha ya sasa tulinganishe
Kha, dogo alikuwa ..mbamba anatisha! Chini katinga ndala, mkono mwembamba as if .......Katoka mbali . weka na picha ya sasa tulinganishe
Hapo nimeelewa . Asante kwa kutujulisha.Mkuu si wanasema.FA. anasumbuliwa na
ule ugonjwa wa sickle cell nadhani huo
mwonekano wa zamani huenda alikuwa
akisumbuliwa nao sana.