Mwana FA back in days.....!!!!

donlucchese

JF-Expert Member
Mar 23, 2011
17,031
21,499
MWANA FA.JPG
 
Dah! my cousin himself. UNENE WANGU ACHANA NAO,JALI BIASHARA ZAKO,NYAMA CHOMA GANJA SIO KILA KITU NIJUACHO.AM THE NAME OF THE GAME,MTU NA HESHIMA ZAKE,MARA MOJA MOJA SUTI.UKINIONA UNIKUMBUKE!
 
Kha, dogo alikuwa ..mbamba anatisha! Chini katinga ndala, mkono mwembamba as if .......Katoka mbali . weka na picha ya sasa tulinganishe




Mkuu si wanasema.FA. anasumbuliwa na
ule ugonjwa wa sickle cell nadhani huo
mwonekano wa zamani huenda alikuwa
akisumbuliwa nao sana.
 
Kama anao huo ugonjwa wa sickle cell basi akipita miaka 18 hawi tena kwenye risk.......
 
Jamani Mwana FA namfahamu toka akiwa mtoto yeye AY Mnyalu na GK pale Meku Upanga. Ila kwa kweli GK game haliwezi kabisaaaa.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom