mwana dada aomba JK amshughulikie Godbless Lema.. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

mwana dada aomba JK amshughulikie Godbless Lema..

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Nicas Mtei, May 22, 2011.

 1. Nicas Mtei

  Nicas Mtei JF-Expert Member

  #1
  May 22, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 11,569
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 160
  nikiwa naperuzperuz page mbalmbal leo nkakutana na page ya jk ambayo ilikuwa na picha ilokuwa na maelezo na maonimbalimbali..... n kilchonivutia ni maoni ya mwanadada m1 ambaye almwomba jk amshughulikie Lema.........


  kipande cha hyo page ni hiki;
  [​IMG]
  Katika ufunguzi wa mkutano maalum wa wakuu wa nchi za Jumuiya ya uchumi Kusini mwa Afrika (SADC) jijini Windhoek,Namibia.

  Add a description
  Katika ufunguzi wa mkutano maalum wa wakuu wa nchi za Jumuiya ya uchumi Kusini mwa Afrika (SADC) jijini Windhoek,Namibia.

  Added May 20
  • 34 people like this.
   • [​IMG]

    Abdul Chotta Mr. presdent zle harakat za africa kuwa nch moja znaendelea?coz ni muhmu huko tuendako coz jamaa ze2 watatumeza na hatutafuruka tutarudi 2liko toka..hata Nesta Marley alisisitiza Africa Unite!Yesterday at 3:36am · 3 peopleLoading...

   • [​IMG]

    Miriam Byekwaso Ubarikiwe Mr. Prezzo! Naamini utawakilisha vyema. Amani kwako.Yesterday at 3:39am · 3 peopleLoading...

   • [​IMG]

    Fahad Msafiri Hongereni sana wote mlio hudhuria ufunguzi huo. Napia nikupongeze sana Jakaya kwa jitihada zako.Yesterday at 3:39am · 2 peopleLoading...

   • [​IMG]

    Berious Nyasebwa Mhe rais nini dhumuni la mkutano huuYesterday at 3:42am

   • [​IMG]

    Fahad Msafiri Hongereni sana wote mlio hudhuria ufunguzi huo. Napia nikupongeze sana Jakaya kwa jitihada zako.Yesterday at 3:45am · 1 personLoading...

   • [​IMG]

    Haissam Chaurembo husika na status ya mh.rais dhumuni ni kuimarisha uchumi wa nchi za africaYesterday at 3:46am · 2 peopleLoading...

   • [​IMG]

    Maria Bitegeko Pliz kwanza mshughulikie God bless lema huyu mbunge hana nia njema kabisa na nchi yetu ebu fuatilia mobilization alizofanya na impact zake its terrible heri nusu shari kuliko shari kamiliYesterday at 3:48am

   • [​IMG]

    Haissam Chaurembo jalaya mrisho kikwete mungu akujaalie na atujaalie watanzania wote tuendeleze amani na upendo nchini mwetu. Na uweze kutuongoza vizuri wananchi wako nakutakia kazi njema za kitaifa. Wewe ndo RAIS WANGU.Yesterday at 3:49am · 2 peopleLoading...

   • [​IMG]

    Job Massengo bob has meanin in hs songz; one love and african unit!. if we can mak t practcal i dont knw were we wll b....
    one lov all pepoYesterday at 3:51am

   • [​IMG]

    Sele Man Mh. Rais ahsante kwa kuandika Lugha ya Taifa coz m2 kama mi2 sielewi kingereza ukiandika Mungu akutangulie !Yesterday at 4:00am

   • [​IMG]

    Sele Man Mr. Prezidar vp kuhusu tatizo la Umeme huku Tanzania,huoni kama unatia aibu sana? Nchi ya Tanzania inasifa nzuri nyingi sana, lakn suala la Umeme na Mbu lina watesa sana wananchi wako waliokupa kura zandio! Itsme Raisi wawa safi "SELEMAN" waukweli ndani ya 88.1 cloudsfm mwanza Tanzania.Yesterday at 4:11am

   • [​IMG]

    Arthur Musasizi Its an opportunity for the masters to dine and wine. Talk abt economic problems and do nothing abt it. Africa is the richest continent in the world! What do we have to show for that????...........poverty,poverty and more poverty. What did ur predecessor think when he gave away rights to some of Tanzania's natural resources to foreigners who payed peanuts and got over 90yrs to Exploit and enrich western economies? Yesterday at 4:27am

   • [​IMG]

    Ally Allawy hongera kikwete kwa kazi yako nzuri ya kutetea maslahi ya nchi ye2 mungu akuzidishie imani.Yesterday at 4:48am

   • [​IMG]

    Mmari Godlisten Hongera za nini? Mimi picha za viongozi zinanisaidia nini? Umependeza sana kwenye picha ila swala la umeme nyumbani huku ni aibu baba. Rudi nyumbani shughulikia tatizo la umeme ukimaliza ruksa kuuza sura mkuu. Kinyume na hapo hatukuelewi. Moshi kila siku lazima umeme ukatike kwa zaidi ya saa nane! Tutapataje maendeleo kama secta nyeti kama hiyo mmeichakachuaa?Yesterday at 5:16am

   • [​IMG]

    Abel J. Motika hongera muheshiwa Raisi kwaharakati zako za ndani ya nchi na nje ya nchi god blcd uYesterday at 5:31am

   • [​IMG]

    Hamad Botto Hongera sana uncle,jitahidi kuleta maendeleo zaidiYesterday at 5:34am

   • [​IMG]

    Kuzwa Elias Nch yetu imejaaliwa kupata mikutano ya kiuchumi mingi kwa nch na viongoz wake. Lkn je,munai2mia kwa manufaa mkutano hiyo?Yesterday at 7:33am

   • [​IMG]

    Clemence Reuben Ndossi umeme!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!Yesterday at 4:43pm

   • [​IMG]

    Ramadhani Mjengi Mh. rais kikwete, nakupongeza sana kwa juhudi zako za kuinua uchumi na pato la mtazania, pia naomba uwaambie mawaziri wako wawe wanatoa raarifa za vekele9a wa miradi ya maendeleo ili kvibi upotoshwaji wa harakati za serikali yako na wapidhani kama akina dr.slaa.Yesterday at 4:43pm

   • [​IMG]

    Luca Frm Muleba mh kikwete,taifa letu lipo kwenye giza,kwan tanesco imetangaza upungufu wa watts kweny grid ya taifa,ina maana siku zote hz wahusika wa nishati hawajui geografia na majira ya nch ili kuwa na mkakati wa kumaliza ukata huu?,huko ugenn pengine wana jins ambavyo wanafanya ,waombe mbinu zitumike kwetu tupate tija na kuondokana na dhahama hili.15 hours ago  From the album:
  Wall Photos by Jakaya Kikwete
  ShareReport This PhotoDownload
   
 2. T

  The tourist Member

  #2
  May 23, 2011
  Joined: May 15, 2011
  Messages: 32
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  haya bana mdau........... ila hyo avatar yako imekaa poa......... ni mtazamo wangu tu
   
 3. Sniper

  Sniper JF-Expert Member

  #3
  May 23, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,944
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Kichwa cha huyo mdada kimejaa makamasi
   
 4. T

  The tourist Member

  #4
  May 23, 2011
  Joined: May 15, 2011
  Messages: 32
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  halafu makamasi yenyewe yameganda
   
 5. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #5
  May 23, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,468
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Binadamu tunatofautiana...
   
 6. S

  Sharo hiphop JF-Expert Member

  #6
  May 23, 2011
  Joined: May 17, 2011
  Messages: 662
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Huyo dada angemwomba kik amshughulikie yeye kwanza mana anaweza kabisa.
   
 7. G

  Good boy Member

  #7
  May 23, 2011
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 46
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huyo mdada labda anamtaka huyo prezidaa, tena ashindwe na alegee, amuache lema m2 wa watu.
   
Loading...