Mwana CCM yupi anafaa kuwa rais baada ya Mh. Dkt Magufuli 2025?

Mudawote

JF-Expert Member
Jul 10, 2013
10,003
12,463
GTs,
Umofia kwenu.

Kila mmoja wetu anaona jinsi ambavyo Mh. rais, Dkt Magufuli anavyofuata utawala wa sheria na katiba yetu pendwa. Pamoja na kuwa asilimia 100 ya watanzania tunataka awe rais wa kudumu, ila yeye Mh. rais alishalitolea ufafanuzi kuwa atafuata katiba inasemaje, yaani urais ni miaka 10 tu.

Pamoja na kuwa kwa nchi yetu haijawahi kutokea mtabiriwa wa urais kuwa rais, mfano, Mh. Dkt JK alidhaniwa 1995, lakini akaibuka Mh. Mkapa, na 2015 alidhaniwa Lowassa/Membe ila akaibuka Mh. Dkt Magufuli.

Je kwa 2025 nani anaweza kushika mikoba?
 
Toa upuuzi wako hapa.

Anafuata sheria gani? Katiba gani anayoifuata?
Nani kasababisha Bombardier ikamatwe?
Nani alivunja mikataba ovyo?

Vipi wanaume wa Makinikia wametulipa sh ngapi?

Wewe unaweza kusifia na kusema mkojo ni chai
 
Any thing ken hapen

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anafuata sheria gani? Katiba gani anayoifuata?
Nani kasababisha Bombardier ikamatwe?
Nani alivunja mikataba ovyo?

Vipi wanaume wa Makinikia wametulipa sh ngapi?

Wewe unaweza kusifia na kusema mkojo ni chai
Ufafanuzi ulishatolewa, Waziri wa ujenzi hakuwa Mh. Dkt Magufuli enzi za kusimamishwa huyo mkandarasi, na pia bunge lililidhia usimamishwaji huo. Sasa huo upuuzi ulioandika ni wa nini? Wewe utakuwa mwehu
 
Sheria ya kukamata wapinzani hovyo hovyo mkuu.
Hapana hiyo siyo kweli. Lissu ana matatizo yake binafsi. Yaani anataka kujijenga kisiasa 2020 ili ampiku Mh. Mbowe. Na ndiyo maana anafanya kila awezalo ili aonekane anateseka kwa ajili ya watu kumbe anajibomoa. Sasa unajua credibility ya Lisu ni 20% kwa jamii. Yaani wanaomshabikia kwa sasa wamebaki vilazazz tu. Wenye akili walishatambua. Ukitaka kuona ukweli wewe angalia kama Mh. lowasa ana mihemuko kama ya Lisuu
 
Mkuu nasikia dada zetu wengine wakiwa kwenye siku zao wanakuwa na matatizo ya kiafya, je hilo lina ukweli kidogo? asante mkuu
 
Back
Top Bottom