Tetesi: Mwana CCM adai mwezi Julai 2020, viongozi wa upinzani hasa Mbowe, Lissu, Zitto, Maalim Seif nk kuhukumiwa vifungo jela na CCM kupita bila kupingwa

Pole sana. Soma historia. Walokuwa wakimshabikia Hitler, mipango yake na mikakati ovu, hawakuamini kuwa angeweza kuondoka na kujiua. Kwa vile walimwabudu na kumtukuza kama ufanyavyo wewe. Juhudi za shetani haziishi ila hufanikiwa kwa muda mfupi tu.
Una fikra najisi. Kwamba unapanga kichwani kuwa wasemao ya kweli na yanaonekana wanamtukuza mtendaji! Du, umfilisika kichwani!

Au huoni jinsi Wenyeviti wa vya upinzani wanavyotukuzwa wakati ukweli wa wa wazi wanatafuna Ruzuku, wanawateua viongozi wa vyama vyao kwa upendeleo na hawaulizwi!!!
 
Badala ya kukaa na kutafakari nini kinaendelea kwenye chama chenu hadi viongozi wanahama, mnabaki kuandika mambo ya kipumbavu mitandaoni. Mlibebea bango eti Mzee Makamba na Mzee Kinana Makatibu Wakuu wa zamani wa CCM wajitoa CCM. Mkajaza threads humu weeeeee! Mkajaza koments weeee! Mwisho wa siku, Katibu Mkuu wenu wa zamani ndio akahamia CCM. Hiyo Paschal Mayalla anaiita Karma!
Great thinking
 
.
Habari wananchi!

Taarifa inayofanyiwa kazi na ccm hasa makada watiifu ambao ni majaji wa mahakama kuu ni kuhakikisha viongozi wakuu wa upinzani kufungwa jela walau miezi sita na kuendelea ili kupisha ccm itawazwe kushinda ngazi zote za uongozi kuanzia udiwani, ubunge na urais.

Sababu za kufanya ivyo ni pamoja na

1. Kupunguza gharama za uchaguzi kwani kwa sasa bajeti haipo/haitoshi kuendesha uchaguzi.

2. Kuufuta upinzani nchini kwa kuonyesha dunia kuwa viongozi wa upinzani ni waaharifu na mahakama imewahukumu na sio serikali

3. Hofu ya Magufuli kupunguziwa idadi ya kura.

4. Madaj ya tume huru na iwapo upinzani wakiamua kujitoa kabla ya kutolewa na tume kama ilivyofanyika kwenye chaguzi za serikali za mitaa

5. Zanzibar kuna plani kuu mbili, kupitisha sheria kumzuia maalim seif kutogombea na inabidi akae miaka 2 kama kahama chama na pili wamfungulie kesi yoyote itakayomsababisha kufungwa au kukosa sifa ya kuwa mgombea wa urais.

Agenda kuu Kuhamia ccm ukigoma unatupiwa kesi, then kifungo wanaolengwa zaidi ni Mbowe, Lissu, Zitto. Na viongozi wote kwenye kesi ya Akwilina watafungwa isipokuwa ka Dr Masinji atatolewa kwa mlango wa nyuma.
tapatalk_1582904306033~2.jpeg

Jr
 
Binadamu hageuki shetani kwa kuitwa tuu shetani, bali binadamu hugeuka shetani kwa kufanya vitendo vya kishetani.
Ila ukumbuke hata shetani mwanzo alikuwa malaika, na kitendo cha kumuita mtu wa Mungu kuwa ni shetani wakati kiukweli sii shetani, kutakupelekea kupata mapigo ya karma!.
Uchaguzi 2015 - Nani hatari zaidi kati ya malaika aliyegeuka ...
Malaika akijiunga na mashetani, anageuka shetani?, shetani ...
P
Huyu ni shetani tangu mwanzo na muuwaji mkuu
 
Habari wananchi!

Taarifa inayofanyiwa kazi na ccm hasa makada watiifu ambao ni majaji wa mahakama kuu ni kuhakikisha viongozi wakuu wa upinzani kufungwa jela walau miezi sita na kuendelea ili kupisha ccm itawazwe kushinda ngazi zote za uongozi kuanzia udiwani, ubunge na urais.

Sababu za kufanya ivyo ni pamoja na

1. Kupunguza gharama za uchaguzi kwani kwa sasa bajeti haipo/haitoshi kuendesha uchaguzi.

2. Kuufuta upinzani nchini kwa kuonyesha dunia kuwa viongozi wa upinzani ni waaharifu na mahakama imewahukumu na sio serikali

3. Hofu ya Magufuli kupunguziwa idadi ya kura.

4. Madaj ya tume huru na iwapo upinzani wakiamua kujitoa kabla ya kutolewa na tume kama ilivyofanyika kwenye chaguzi za serikali za mitaa

5. Zanzibar kuna plani kuu mbili, kupitisha sheria kumzuia maalim seif kutogombea na inabidi akae miaka 2 kama kahama chama na pili wamfungulie kesi yoyote itakayomsababisha kufungwa au kukosa sifa ya kuwa mgombea wa urais.

Agenda kuu Kuhamia ccm ukigoma unatupiwa kesi, then kifungo wanaolengwa zaidi ni Mbowe, Lissu, Zitto. Na viongozi wote kwenye kesi ya Akwilina watafungwa isipokuwa ka Dr Masinji atatolewa kwa mlango wa nyuma.
kwa style hii vita ya wenyewe kwa wenyewe sidhani kama itakwepeka.

hii itakuwa eexcuse nzuri ya mataifa kama US kujiingiza moja kwa moja katika politics za Tanzania na pengine kuiondoa CCM madarakani kwa nguvu.

CCM chonde chonde tuepushieni hii dhahama kwani watakaoumia si upinzani pekee bali Watanzania wote!
 
Kwani wakiwafunga hao vyama vyao havitakuwa na wagombea mbadala?!

Na wanaamini wakifanya huo upuuzi dunia itawaelewa?

Hilo la Mashinji litawapasua vichwa sana, sijui watamnasuaje kwenye hiyo kesi, naamini hawakulijadili wakati wa kumtongoza.

Huyo mwana CCM kachoka akili kama walivyochoka CCM wenzake, uchaguzi lazima ufanyike.

Nimeamini CCM wanaogopa sana upinzani, japo hawaachi kupiga kelele eti upinzani unafutika Tanzania.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hukumu itakuwa ni kulipa faini, hilo kila mmoja atalimudu, Mashinji inclusively.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
haya mbona yamekuwepo tyr na sio suala la kuficha, hii inayofanywa na ccm ukisoma vitabu vitakatifu hii ni copy and paste toka kwa shetani
 
kwa style hii vita ya wenyewe kwa wenyewe sidhani kama itakwepeka.

hii itakuwa eexcuse nzuri ya mataifa kama US kujiingiza moja kwa moja katika politics za Tanzania na pengine kuiondoa CCM madarakani kwa nguvu.

CCM chonde chonde tuepushieni hii dhahama kwani watakaoumia si upinzani pekee bali Watanzania wote!
Atakayeianzisha hiyo vita nani?
 
Hakika thus zile kesi haziishi zinasubiria ufike wakati.
Mashinji kakimbia kesi kaamua kupigwa chapa
 
Una fikra najisi. Kwamba unapanga kichwani kuwa wasemao ya kweli na yanaonekana wanamtukuza mtendaji! Du, umfilisika kichwani!

Au huoni jinsi Wenyeviti wa vya upinzani wanavyotukuzwa wakati ukweli wa wa wazi wanatafuna Ruzuku, wanawateua viongozi wa vyama vyao kwa upendeleo na hawaulizwi!!!
Hata ccm yapo huna chapa upati teuzi
 
Duh...!, nadhani hili ni bandiko la hisia tuu, CCM na serikali yake haiwezi kuwa na uoga wa kushindwa uchaguzi kihivyo kwasababu Rais Magufuli sasa anakubalika sana hadi wapinzani wanaacha vyama vyao kwa hiyari yao na kumuunga mkono.

Tena na kwa track record ya utendaji wake uliotikuka so far, ushindi wa kishindo kwa CCM ni uhakika!, wembe ule ule uliotumika kuwanyoa wapinzani kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa, ndio utatumika kuwanyoa kwenye uchaguzi mkuu.

Kwa mujibu wa sheria iliyounda Tume ya Taifa ya Uchaguzi, NEC ni tume huru japo sio shirikishi.
Uchaguzi unaendeshwa kwa mujibu wa sheria, taratibu na kanuni za uendeshaji uchaguzi huru na wa haki tena tutashauri kwa uchaguzi wa mwaka huu, mawakala waruhusiwe hadi kwenye tallying.

Kama uchaguzi unandeshwa very transparently kwa kura zote hadi za rais kubandikwa vituoni.
Tutawashauri mawakala wote wa vyama vyote wapewe smart phones na ku scan matokeo ya kila kituo na kutuma kwenye tallying centres za kila chama.

Ili kuthibitisha hakuna goli lolote la mkono, hakuna sababu yoyote ya NEC kuzuia independent tallying centres, ila haziruhusuwi kutangaza matokeo, ila matokeo yasipotally then they'll have a strong case to challenge with Documentary evidence, numbers don't lie.

Matokeo ya mwisho ya uchaguzi mkuu ni ushindi wa kishindo cha asilimia 93% kwa CCM, hizo asilimia 7% ni Pemba na yale majimbo mawili ya Zanzibar ambayo yatakwenda ACT!.

Kanuni ya ushindi ni "the end justifies the means"
" the winner takes it all, the losers standing small"

Kwa vile kila mtu ameishajua CCM itashinda uchaguzi, bado naendelea kuisisitiza hoja hii
P

unamsifia mwanaume mwenzio mpaka unaboa
 
Kuscan matokeo kuna maana ipi huku matokeo ya kura hayapingwi mahakamani?
 
Back
Top Bottom