• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

Tetesi: Mwana CCM adai mwezi Julai 2020, viongozi wa upinzani hasa Mbowe, Lissu, Zitto, Maalim Seif nk kuhukumiwa vifungo jela na CCM kupita bila kupingwa

  • Thread starter Return Of Undertaker
  • Start date
Return Of Undertaker

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2012
Messages
4,172
Points
2,000
Return Of Undertaker

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Joined Jun 12, 2012
4,172 2,000
Habari wananchi!

Taarifa inayofanyiwa kazi na ccm hasa makada watiifu ambao ni majaji wa mahakama kuu ni kuhakikisha viongozi wakuu wa upinzani kufungwa jela walau miezi sita na kuendelea ili kupisha ccm itawazwe kushinda ngazi zote za uongozi kuanzia udiwani, ubunge na urais.

Sababu za kufanya ivyo ni pamoja na

1. Kupunguza gharama za uchaguzi kwani kwa sasa bajeti haipo/haitoshi kuendesha uchaguzi.

2. Kuufuta upinzani nchini kwa kuonyesha dunia kuwa viongozi wa upinzani ni waaharifu na mahakama imewahukumu na sio serikali

3. Hofu ya Magufuli kupunguziwa idadi ya kura.

4. Madaj ya tume huru na iwapo upinzani wakiamua kujitoa kabla ya kutolewa na tume kama ilivyofanyika kwenye chaguzi za serikali za mitaa

5. Zanzibar kuna plani kuu mbili, kupitisha sheria kumzuia maalim seif kutogombea na inabidi akae miaka 2 kama kahama chama na pili wamfungulie kesi yoyote itakayomsababisha kufungwa au kukosa sifa ya kuwa mgombea wa urais.

Agenda kuu Kuhamia ccm ukigoma unatupiwa kesi, then kifungo wanaolengwa zaidi ni Mbowe, Lissu, Zitto. Na viongozi wote kwenye kesi ya Akwilina watafungwa isipokuwa ka Dr Masinji atatolewa kwa mlango wa nyuma.
 
Pascal Mayalla

Pascal Mayalla

Platinum Member
Joined
Sep 22, 2008
Messages
34,411
Points
2,000
Pascal Mayalla

Pascal Mayalla

Platinum Member
Joined Sep 22, 2008
34,411 2,000
Habari wananchi!
Taarifa inayofanyiwa kazi na ccm hasa makada watiifu ambao ni majaji wa mahakama kuu ni kuhakikisha viongozi wakuu wa upinzani kufungwa jela walau miezi sita na kuendelea ili kupisha ccm itawazwe kushinda ngazi zote za uongozi kuanzia udiwani, ubunge na urais.
Duh...!, nadhani hili ni bandiko la hisia tuu, CCM na serikali yake haiwezi kuwa na uoga wa kushindwa uchaguzi kihivyo kwasababu Rais Magufuli sasa anakubalika sana hadi wapinzani wanaacha vyama vyao kwa hiyari yao na kumuunga mkono.

Tena na kwa track record ya utendaji wake uliotikuka so far, ushindi wa kishindo kwa CCM ni uhakika!, wembe ule ule uliotumika kuwanyoa wapinzani kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa, ndio utatumika kuwanyoa kwenye uchaguzi mkuu.

Kwa mujibu wa sheria iliyounda Tume ya Taifa ya Uchaguzi, NEC ni tume huru japo sio shirikishi.
Uchaguzi unaendeshwa kwa mujibu wa sheria, taratibu na kanuni za uendeshaji uchaguzi huru na wa haki tena tutashauri kwa uchaguzi wa mwaka huu, mawakala waruhusiwe hadi kwenye tallying.

Kama uchaguzi unandeshwa very transparently kwa kura zote hadi za rais kubandikwa vituoni.
Tutawashauri mawakala wote wa vyama vyote wapewe smart phones na ku scan matokeo ya kila kituo na kutuma kwenye tallying centres za kila chama.

Ili kuthibitisha hakuna goli lolote la mkono, hakuna sababu yoyote ya NEC kuzuia independent tallying centres, ila haziruhusuwi kutangaza matokeo, ila matokeo yasipotally then they'll have a strong case to challenge with Documentary evidence, numbers don't lie.

Matokeo ya mwisho ya uchaguzi mkuu ni ushindi wa kishindo cha asilimia 93% kwa CCM, hizo asilimia 7% ni Pemba na yale majimbo mawili ya Zanzibar ambayo yatakwenda ACT!.

Kanuni ya ushindi ni "the end justifies the means"
" the winner takes it all, the losers standing small"

Kwa vile kila mtu ameishajua CCM itashinda uchaguzi, bado naendelea kuisisitiza hoja hii
https://www.jamiiforums.com/threads...na-haja-kufanya-uchaguzi-wa-rais-2020.980346/P
 
jd41

jd41

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2015
Messages
3,760
Points
2,000
jd41

jd41

JF-Expert Member
Joined Aug 23, 2015
3,760 2,000
Kwani wakiwafunga hao vyama vyao havitakuwa na wagombea mbadala?!

Na wanaamini wakifanya huo upuuzi dunia itawaelewa?

Hilo la Mashinji litawapasua vichwa sana, sijui watamnasuaje kwenye hiyo kesi, naamini hawakulijadili wakati wa kumtongoza.

Huyo mwana CCM kachoka akili kama walivyochoka CCM wenzake, uchaguzi lazima ufanyike.

Nimeamini CCM wanaogopa sana upinzani, japo hawaachi kupiga kelele eti upinzani unafutika Tanzania.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
S

sweettablet

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2014
Messages
4,319
Points
2,000
S

sweettablet

JF-Expert Member
Joined Nov 16, 2014
4,319 2,000
Badala ya kukaa na kutafakari nini kinaendelea kwenye chama chenu hadi viongozi wanahama, mnabaki kuandika mambo ya kipumbavu mitandaoni. Mlibebea bango eti Mzee Makamba na Mzee Kinana Makatibu Wakuu wa zamani wa CCM wajitoa CCM. Mkajaza threads humu weeeeee! Mkajaza koments weeee! Mwisho wa siku, Katibu Mkuu wenu wa zamani ndio akahamia CCM. Hiyo Paschal Mayalla anaiita Karma!
 
Kennedy

Kennedy

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2011
Messages
19,897
Points
2,000
Kennedy

Kennedy

JF-Expert Member
Joined Dec 28, 2011
19,897 2,000
Ili Nchi Iendelee Inahitaji:-
1 .
Watu
2 . Uongozi Bora
3 . Siasa Safi
4 . Ardhi
Maadui Wa Nchi Yetu Ni :-
1 . Ujinga
2 . Umasikini
3 . Maradhi
***************************************************
Mkia Wa Mbuzi Unafagia Pale Tu Unapolala.
Sikio La Kufa Litasikia Kwa Mungu
Sikio La Kufa Halisikii Dawa
🤣😂😁
 
R

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Messages
21,314
Points
2,000
R

Retired

JF-Expert Member
Joined Jul 22, 2016
21,314 2,000
Duh...!, nadhani hili ni bandiko la hisia tuu, CCM na serikali yake haiwezi kuwa na uoga kihivyo kwasababu Rais Magufuli anakubalika sana, na kwa track record ya utendaji wake so far, ushindi wa kishindo kwa CCM ni uhakika!, wewe ule ule uliotumika kuwanyoa wapinzani kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa, utatumika kwenye uchaguzi mkuu.
Tume ya uchaguzi NEC ni tume huru japo sio shirikishi.
Uchaguzi unaendeshwa kwa mujibu wa sheria, taratibu na kanuni za uendeshaji uchaguzi huru na wa haki.
Matokeo ya uchaguzi mkuu ni ushindi wa kishindo cha asilimia 93% kwa CCM, hizo asilimia 7% ni Pemba na yale majimbo mawili ya Zanzibar ambayo yatakwenda ACT!.

Tuliisha shauri mapema
https://www.jamiiforums.com/threads...na-haja-kufanya-uchaguzi-wa-rais-2020.980346/P
Rubbish!
 
chakii

chakii

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2013
Messages
18,090
Points
2,000
chakii

chakii

JF-Expert Member
Joined Sep 15, 2013
18,090 2,000
Habari wananchi!

Taarifa inayofanyiwa kazi na ccm hasa makada watiifu ambao ni majaji wa mahakama kuu ni kuhakikisha viongozi wakuu wa upinzani kufungwa jela walau miezi sita na kuendelea ili kupisha ccm itawazwe kushinda ngazi zote za uongozi kuanzia udiwani, ubunge na urais.

Sababu za kufanya ivyo ni pamoja na

1. Kupunguza gharama za uchaguzi kwani kwa sasa bajeti haipo/haitoshi kuendesha uchaguzi.

2. Kuufuta upinzani nchini kwa kuonyesha dunia kuwa viongozi wa upinzani ni waaharifu na mahakama imewahukumu na sio serikali

3. Hofu ya Magufuli kupunguziwa idadi ya kura.

4. Madaj ya tume huru na iwapo upinzani wakiamua kujitoa kabla ya kutolewa na tume kama ilivyofanyika kwenye chaguzi za serikali za mitaa

5. Zanzibar kuna plani kuu mbili, kupitisha sheria kumzuia maalim seif kutogombea na inabidi akae miaka 2 kama kahama chama na pili wamfungulie kesi yoyote itakayomsababisha kufungwa au kukosa sifa ya kuwa mgombea wa urais.

Agenda kuu Kuhamia ccm ukigoma unatupiwa kesi, then kifungo wanaolengwa zaidi ni Mbowe, Lissu, Zitto. Na viongozi wote kwenye kesi ya Akwilina watafungwa isipokuwa ka Dr Masinji atatolewa kwa mlango wa nyuma.
Lisemwalo lipo...
 
chakii

chakii

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2013
Messages
18,090
Points
2,000
chakii

chakii

JF-Expert Member
Joined Sep 15, 2013
18,090 2,000
Duh...!, nadhani hili ni bandiko la hisia tuu, CCM na serikali yake haiwezi kuwa na uoga kihivyo kwasababu Rais Magufuli anakubalika sana, na kwa track record ya utendaji wake so far, ushindi wa kishindo kwa CCM ni uhakika!, wewe ule ule uliotumika kuwanyoa wapinzani kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa, utatumika kwenye uchaguzi mkuu.
Tume ya uchaguzi NEC ni tume huru japo sio shirikishi.
Uchaguzi unaendeshwa kwa mujibu wa sheria, taratibu na kanuni za uendeshaji uchaguzi huru na wa haki.
Matokeo ya uchaguzi mkuu ni ushindi wa kishindo cha asilimia 93% kwa CCM, hizo asilimia 7% ni Pemba na yale majimbo mawili ya Zanzibar ambayo yatakwenda ACT!.

Tuliisha shauri mapema
https://www.jamiiforums.com/threads...na-haja-kufanya-uchaguzi-wa-rais-2020.980346/P
Pambana mkuu kuna nafasi moja ya u-DC ipo wazi...
 
DOUGLAS SALLU

DOUGLAS SALLU

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2009
Messages
21,946
Points
2,000
DOUGLAS SALLU

DOUGLAS SALLU

JF-Expert Member
Joined Nov 13, 2009
21,946 2,000
Ili Nchi Iendelee Inahitaji:-
1 .
Watu
2 . Uongozi Bora
3 . Siasa Safi
4 . Ardhi
Maadui Wa Nchi Yetu Ni :-
1 . Ujinga
2 . Umasikini
3 . Maradhi
***************************************************
Mkia Wa Mbuzi Unafagia Pale Tu Unapolala.
Sikio La Kufa Litasikia Kwa Mungu
Sikio La Kufa Halisikii Dawa
Adui mkubwa wa nchi hii ni CCM

Sent using Jamii Forums mobile app
 
simplemind

simplemind

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2009
Messages
14,436
Points
2,000
simplemind

simplemind

JF-Expert Member
Joined Apr 10, 2009
14,436 2,000
Duh...!, nadhani hili ni bandiko la hisia tuu, CCM na serikali yake haiwezi kuwa na uoga kihivyo kwasababu Rais Magufuli anakubalika sana, na kwa track record ya utendaji wake so far, ushindi wa kishindo kwa CCM ni uhakika!, wembe ule ule uliotumika kuwanyoa wapinzani kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa, utatumika kwenye uchaguzi mkuu.
Tume ya uchaguzi NEC ni tume huru japo sio shirikishi.
Uchaguzi unaendeshwa kwa mujibu wa sheria, taratibu na kanuni za uendeshaji uchaguzi huru na wa haki.
Matokeo ya uchaguzi mkuu ni ushindi wa kishindo cha asilimia 93% kwa CCM, hizo asilimia 7% ni Pemba na yale majimbo mawili ya Zanzibar ambayo yatakwenda ACT!.

Tuliisha shauri mapema
https://www.jamiiforums.com/threads...na-haja-kufanya-uchaguzi-wa-rais-2020.980346/P
Thubutu, msimu huu kura Zanzibar zinalindwa liwalo liwe,
 
M

Mnasihi

JF-Expert Member
Joined
Oct 9, 2013
Messages
6,008
Points
2,000
M

Mnasihi

JF-Expert Member
Joined Oct 9, 2013
6,008 2,000
Duh...!, nadhani hili ni bandiko la hisia tuu, CCM na serikali yake haiwezi kuwa na uoga kihivyo kwasababu Rais Magufuli anakubalika sana, na kwa track record ya utendaji wake so far, ushindi wa kishindo kwa CCM ni uhakika!, wewe ule ule uliotumika kuwanyoa wapinzani kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa, utatumika kwenye uchaguzi mkuu.
Tume ya uchaguzi NEC ni tume huru japo sio shirikishi.
Uchaguzi unaendeshwa kwa mujibu wa sheria, taratibu na kanuni za uendeshaji uchaguzi huru na wa haki.
Matokeo ya uchaguzi mkuu ni ushindi wa kishindo cha asilimia 93% kwa CCM, hizo asilimia 7% ni Pemba na yale majimbo mawili ya Zanzibar ambayo yatakwenda ACT!.

Tuliisha shauri mapema
https://www.jamiiforums.com/threads...na-haja-kufanya-uchaguzi-wa-rais-2020.980346/P
P. Hakika unatafuta uteuzi kwa mbinu zote! Hakika, Safari hii akiingia tu hatakusahau! La muhimu ni wewe kujitahidi kumpambania magu bila kuchoka! Usisahau kipengele muhimu sana Cha kusifu hata akifanya makosa makubwa!
Najua njaa imekuandama sana Tena kuliko Ile ya mashinji kwani ni kweli familia inahitaji kushiba muda wote na njia pekee ya kuiwezesha hilo ni kuanza kumbashiria mtoa posho ushindi wa kishindo kuliko ilivyowahi kutokea kwani yeye amekuwa mvunja rekodi kww kila aliwazalo na kulitenda! But, aibu yake sasa! Utajaza mwenyewe!
 
Behaviourist

Behaviourist

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2016
Messages
21,793
Points
2,000
Behaviourist

Behaviourist

JF-Expert Member
Joined Apr 8, 2016
21,793 2,000
Duh...!, nadhani hili ni bandiko la hisia tuu, CCM na serikali yake haiwezi kuwa na uoga kihivyo kwasababu Rais Magufuli anakubalika sana, na kwa track record ya utendaji wake so far, ushindi wa kishindo kwa CCM ni uhakika!, wembe ule ule uliotumika kuwanyoa wapinzani kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa, utatumika kwenye uchaguzi mkuu.
Tume ya uchaguzi NEC ni tume huru japo sio shirikishi.
Uchaguzi unaendeshwa kwa mujibu wa sheria, taratibu na kanuni za uendeshaji uchaguzi huru na wa haki.
Matokeo ya uchaguzi mkuu ni ushindi wa kishindo cha asilimia 93% kwa CCM, hizo asilimia 7% ni Pemba na yale majimbo mawili ya Zanzibar ambayo yatakwenda ACT!.

Tuliisha shauri mapema
https://www.jamiiforums.com/threads...na-haja-kufanya-uchaguzi-wa-rais-2020.980346/P
Wewe ni hovyo kwa sababu haya yote yakitokea utakuja hapa na kucomment tu "Duh" halafu unakuwa umemaliza kazi! Hii siyo sawa!
 
Mzizi wa Mbuyu

Mzizi wa Mbuyu

JF-Expert Member
Joined
May 15, 2009
Messages
6,534
Points
2,000
Mzizi wa Mbuyu

Mzizi wa Mbuyu

JF-Expert Member
Joined May 15, 2009
6,534 2,000
Duh...!, nadhani hili ni bandiko la hisia tuu, CCM na serikali yake haiwezi kuwa na uoga kihivyo kwasababu Rais Magufuli anakubalika sana, na kwa track record ya utendaji wake so far, ushindi wa kishindo kwa CCM ni uhakika!, wembe ule ule uliotumika kuwanyoa wapinzani kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa, utatumika kwenye uchaguzi mkuu.
Tume ya uchaguzi NEC ni tume huru japo sio shirikishi.
Uchaguzi unaendeshwa kwa mujibu wa sheria, taratibu na kanuni za uendeshaji uchaguzi huru na wa haki.
Matokeo ya uchaguzi mkuu ni ushindi wa kishindo cha asilimia 93% kwa CCM, hizo asilimia 7% ni Pemba na yale majimbo mawili ya Zanzibar ambayo yatakwenda ACT!.

Tuliisha shauri mapema
https://www.jamiiforums.com/threads...na-haja-kufanya-uchaguzi-wa-rais-2020.980346/P
Unaongea nini wewe mzee!
Eti serikali haiwezi kuwa na uoga kihivyo!!

Tundu Lissu alipigwaje Risasi? Uoga tu wakiwendawazimu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Forum statistics

Threads 1,405,820
Members 532,110
Posts 34,496,375
Top