Si kitu cha sport sportSharia mjanja mwenzenu katumia Fursa, shemeji wa waziri si kitu mchezo atii
Kubanduana siyo kosa kosa ni kutapeli, mimi nadhani ikithibitika afungwe tu hana shukrani huyu jamaa, watu tunammezea mate yule dada japo kubandua tu yeye anamuibia? imeniuma sana ...mxuuuu!!
Kubanduana siyo kosa kosa ni kutapeli, mimi nadhani ikithibitika afungwe tu hana shukrani huyu jamaa, watu tunammezea mate yule dada japo kubandua tu yeye anamuibia? imeniuma sana ...mxuuuu!!
Ila ukiwa biz partner na mwanamke ni rahc kumtafuna hata wewe jaribuSi alikua anambandua kipindi fulani...
ila nilisikia kipindi huko yule kaka alikua na bidada kwa maslahi yake zaidi... Kumbe na alimtapeli juu
Mwamvita na yeye anataka kuanza uswahili sasa..kama alimtapeli kwanini asiende mahakamani?!
.
Sikutegemea kwa mdada msomi kama yule kugeuza Social Networks kuwa ndio sehemu ya kutatua matatizo yake...
Mwamvita nakukubali sana kwa kazi zako,haya madrama ya kulalamika lalamika kwenye mitandao waachie Wema na Zari
Kama Sheria amekutapeli basi take him to the court!!na pesa ya kulipa mwanasheria yeyote yule unayo,sasa kwanini kwenye mitandao ya kijamii?!..
Thanks!!Pole mkuu!