Ngushi
JF-Expert Member
- Jul 8, 2016
- 9,069
- 18,347
hii comment imenifanya nicheke sana......lolpapuchi na hela imeliwa inauma sana!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hii comment imenifanya nicheke sana......lolpapuchi na hela imeliwa inauma sana!
Hawezi kumpeleka mahakamani maana walipeana katika kubanduana. Sheria alipombwaga Mwamvita akaanza kumbandua Nsia Swai yule mdada aliyepata kashfa ya picha za utupu kule SAUT Mwanza.Mwamvita na yeye anataka kuanza uswahili sasa..kama alimtapeli kwanini asiende mahakamani?!
.
Sikutegemea kwa mdada msomi kama yule kugeuza Social Networks kuwa ndio sehemu ya kutatua matatizo yake...
Mwamvita nakukubali sana kwa kazi zako,haya madrama ya kulalamika lalamika kwenye mitandao waachie Wema na Zari
Kama Sheria amekutapeli basi take him to the court!!na pesa ya kulipa mwanasheria yeyote yule unayo,sasa kwanini kwenye mitandao ya kijamii?!..
Inakuaje wanaJF,
Katika pitapita zangu Twitter nimekumbana na Tweet moja ya Mwanadada Mwamvita Makamba akidai yeye kama Mwekezaji binafsi katika tasnia ya Fashion ametapeliwa na Mbunifu wa Suti matata Bwana Sheria Ngowi.
Hapo alikuwa akimpa taarifa jamaa anayeendesha kipindi kipya mjini cha Papo Kwa Papo na Papi kinachoruka kila jumatano saa 3 kamili usiku kupitia YouTube na kinakuwa Mubashara.
Comment yako imenonyesha ni kwa kiasi gani unazeeka na wakati unakutupa mkono.Wakuu
Mnisamehe kwa hili.
-Hao wametapeliana, sisi inatuhusu nini.
-Mambo ya mahusiano ya mapenzi au biashara hizo ni issues zao, sasa kwenye jukwaa la great thinkers uzi huu mbona umekaa ki udaku. Jukwaa letu nalo linaanza udaku?
- By the way hao wote hakuna hata mmoja ninayemjua. Labda nimedandia tu kuna umuhimu wa uzi huu. La sivyo ebu tuendeleze heshima ya jukwaa hili.
Wewe kichwa chako hakiko sawa!Wakuu

we umekosea jukwaa embu tupishe apaaWakuu
Mnisamehe kwa hili.
-Hao wametapeliana, sisi inatuhusu nini.
-Mambo ya mahusiano ya mapenzi au biashara hizo ni issues zao, sasa kwenye jukwaa la great thinkers uzi huu mbona umekaa ki udaku. Jukwaa letu nalo linaanza udaku?
- By the way hao wote hakuna hata mmoja ninayemjua. Labda nimedandia tu kuna umuhimu wa uzi huu. La sivyo ebu tuendeleze heshima ya jukwaa hili.
Kubanduana siyo kosa kosa ni kutapeli, mimi nadhani ikithibitika afungwe tu hana shukrani huyu jamaa, watu tunammezea mate yule dada japo kubandua tu yeye anamuibia? imeniuma sana ...mxuuuu!!Na kubanduana tena? Kweli Mimi mgeni hapa mjini me nilijua ni washkaji tu kibiashara
Mchagga hakuja mjini kushangaa magorofa amejua kutumia fursa
lugha mujaarabu hii,KUBANDUA.kubandika je?Si alikua anambandua kipindi fulani...
ila nilisikia kipindi huko yule kaka alikua na bidada kwa maslahi yake zaidi... Kumbe na alimtapeli juu
asante kwa masahihisho.dada FF= dhuluma
Filamu mupya, kule Jide na Ruge wanayamaliza hawa wenzetu wanalianzisha....kilio kile kile kutapeliwa/dhulumiwa.Si alikua anambandua kipindi fulani...
ila nilisikia kipindi huko yule kaka alikua na bidada kwa maslahi yake zaidi... Kumbe na alimtapeli juu
nimeamini papuchi huwa zinalipa aisee, mtu unamaliza naye shule hohehae, baadaye kidogo anatembeza papuchi anakuwa bomba balaa. ajabu yake mnakuwa bomba usoni tu, uko chini mshachakazwa hamna hali, na mkiwa na bahati mbaya zaidi mkadondokea kwa mtaliano au mzungu yeyote, mmeshaliwa kiboga hadi tigo zenu hazifai. kwendeni zenu huko.Inakuaje wanaJF,
Katika pitapita zangu Twitter nimekumbana na Tweet moja ya Mwanadada Mwamvita Makamba akidai yeye kama Mwekezaji binafsi katika tasnia ya Fashion ametapeliwa na Mbunifu wa Suti matata Bwana Sheria Ngowi.
Hapo alikuwa akimpa taarifa jamaa anayeendesha kipindi kipya mjini cha Papo Kwa Papo na Papi kinachoruka kila jumatano saa 3 kamili usiku kupitia YouTube na kinakuwa Mubashara.
Walikua wapenzi mkuu lakini in the name of business partners... nakumbuka hadi kuna Magazine moja walitoka pamoja nilipenda ile interview yao
SHILAWADUKwa umbea, nakugawa bure...