Mwamvita Makamba atapeliwa na Sheria Ngowi

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,395
Inakuaje wanaJF,

Katika pitapita zangu Twitter nimekumbana na Tweet moja ya Mwanadada Mwamvita Makamba akidai yeye kama Mwekezaji binafsi katika tasnia ya Fashion ametapeliwa na Mbunifu wa Suti matata Bwana Sheria Ngowi.

IMG_20161130_224018.png

Hapo alikuwa akimpa taarifa jamaa anayeendesha kipindi kipya mjini cha Papo Kwa Papo na Papi kinachoruka kila jumatano saa 3 kamili usiku kupitia YouTube na kinakuwa Mubashara.
 
Si alikua anambandua kipindi fulani...
ila nilisikia kipindi huko yule kaka alikua na bidada kwa maslahi yake zaidi... Kumbe na alimtapeli juu
Wakati Mwamvita alipokua akitoka na Ngowi, pale pembeni Bi dada alikua na mpango wa kando unao zungumza kwa lugha ya bepari.
Baada ya pale, Mwamvi na fundi cherehani wakaingia kwenye vuvaaaaa kubwaaaa.....
Mwisho wa siku Ngowi alishindwa nguvu na mwenye ngozi nyeupe, kisha fundi akavuta nguvu kwa Bidada.
Ebu ngoja nianzie mwisho wa ubuyu......
Baada ya Fundi kuvuta mkwanja kwa jina la mkopo toka kwa binti Makamba, pale ndipo ugomvi ulipo vuma kwa kijana kugoma kurejesha nguvu ndefu kwa Mwamvita.
Ebu ngoja nisubiri maswali...
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom