Mwamvita Makamba atapeliwa na Sheria Ngowi

Tuyuku

JF-Expert Member
Jan 6, 2011
3,296
2,000
Mwamvita na yeye anataka kuanza uswahili sasa..kama alimtapeli kwanini asiende mahakamani?!
.
Sikutegemea kwa mdada msomi kama yule kugeuza Social Networks kuwa ndio sehemu ya kutatua matatizo yake...
Mwamvita nakukubali sana kwa kazi zako,haya madrama ya kulalamika lalamika kwenye mitandao waachie Wema na Zari

Kama Sheria amekutapeli basi take him to the court!!na pesa ya kulipa mwanasheria yeyote yule unayo,sasa kwanini kwenye mitandao ya kijamii?!..
Hawezi kumpeleka mahakamani maana walipeana katika kubanduana. Sheria alipombwaga Mwamvita akaanza kumbandua Nsia Swai yule mdada aliyepata kashfa ya picha za utupu kule SAUT Mwanza.
 
Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,603
2,000
Hawezi kumpeleka mahakamani maana walipeana katika kubanduana. Sheria alipombwaga Mwamvita akaanza kumbandua Nsia Swai yule mdada aliyepata kashfa ya picha za utupu kule SAUT Mwanza.
Mkuu Tuyuku umeiva katika ulaji wa ubuyu
 
Kahinda

JF-Expert Member
Feb 5, 2009
948
500
Inakuaje wanaJF,

Katika pitapita zangu Twitter nimekumbana na Tweet moja ya Mwanadada Mwamvita Makamba akidai yeye kama Mwekezaji binafsi katika tasnia ya Fashion ametapeliwa na Mbunifu wa Suti matata Bwana Sheria Ngowi.

Hapo alikuwa akimpa taarifa jamaa anayeendesha kipindi kipya mjini cha Papo Kwa Papo na Papi kinachoruka kila jumatano saa 3 kamili usiku kupitia YouTube na kinakuwa Mubashara.

Wakuu
Mnisamehe kwa hili.
-Hao wametapeliana, sisi inatuhusu nini.
-Mambo ya mahusiano ya mapenzi au biashara hizo ni issues zao, sasa kwenye jukwaa la great thinkers uzi huu mbona umekaa ki udaku. Jukwaa letu nalo linaanza udaku?
- By the way hao wote hakuna hata mmoja ninayemjua. Labda nimedandia tu kuna umuhimu wa uzi huu. La sivyo ebu tuendeleze heshima ya jukwaa hili.
 
Linamo

JF-Expert Member
Jan 12, 2011
9,979
2,000
Mchagga hakuja mjini kushangaa magorofa amejua kutumia fursa
 
Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,603
2,000
Wakuu
Mnisamehe kwa hili.
-Hao wametapeliana, sisi inatuhusu nini.
-Mambo ya mahusiano ya mapenzi au biashara hizo ni issues zao, sasa kwenye jukwaa la great thinkers uzi huu mbona umekaa ki udaku. Jukwaa letu nalo linaanza udaku?
- By the way hao wote hakuna hata mmoja ninayemjua. Labda nimedandia tu kuna umuhimu wa uzi huu. La sivyo ebu tuendeleze heshima ya jukwaa hili.
Comment yako imenonyesha ni kwa kiasi gani unazeeka na wakati unakutupa mkono.
 
PROF NDUMILAKUWILI

JF-Expert Member
Mar 25, 2016
10,418
2,000
Wakuu
Mnisamehe kwa hili.
-Hao wametapeliana, sisi inatuhusu nini.
-Mambo ya mahusiano ya mapenzi au biashara hizo ni issues zao, sasa kwenye jukwaa la great thinkers uzi huu mbona umekaa ki udaku. Jukwaa letu nalo linaanza udaku?
- By the way hao wote hakuna hata mmoja ninayemjua. Labda nimedandia tu kuna umuhimu wa uzi huu. La sivyo ebu tuendeleze heshima ya jukwaa hili.
Wewe kichwa chako hakiko sawa!
 
moyes

JF-Expert Member
Aug 19, 2013
3,363
2,000
Wakuu
Mnisamehe kwa hili.
-Hao wametapeliana, sisi inatuhusu nini.
-Mambo ya mahusiano ya mapenzi au biashara hizo ni issues zao, sasa kwenye jukwaa la great thinkers uzi huu mbona umekaa ki udaku. Jukwaa letu nalo linaanza udaku?
- By the way hao wote hakuna hata mmoja ninayemjua. Labda nimedandia tu kuna umuhimu wa uzi huu. La sivyo ebu tuendeleze heshima ya jukwaa hili.
we umekosea jukwaa embu tupishe apaa
nenda kule anaposhinda elizaboni uku ni celebrities forum umefata nini mkuu??????
 
Mvaa Tai

JF-Expert Member
Aug 11, 2009
6,162
2,000
Na kubanduana tena? Kweli Mimi mgeni hapa mjini me nilijua ni washkaji tu kibiashara
Kubanduana siyo kosa kosa ni kutapeli, mimi nadhani ikithibitika afungwe tu hana shukrani huyu jamaa, watu tunammezea mate yule dada japo kubandua tu yeye anamuibia? imeniuma sana ...mxuuuu!!
 
mwasu

JF-Expert Member
Jul 13, 2011
10,184
2,000
Mwamvita hana mapenzi ya kweli na hilo Ngowi alilijua ndio maana alikuwa amekubali kuwa mpenzi wa ziada, mwamy alizoea kubanduliwa na ngozi nyeupe, baad ya kutoswa na Rostam akawa na msongo Ngowi akatumia fursa ila baada ya muitaliano kujitokeza mwamy akamkubali na kumfanya ngowi kama hamnazo vile akijitia muitaliano ni mtu wa issue za uwekezaji akamchomeka na bother ake, kumbe Ngowi mjanja aliona kama haoi kwa nini asivute mkwanja?! Mwamy atulie tu akubali matokeo, mbona Rostam aimtapeli kwa kumpa nyumba fake lakini hakumshtaki?!
 
FYATU

JF-Expert Member
Dec 7, 2011
5,370
2,000
Si alikua anambandua kipindi fulani...
ila nilisikia kipindi huko yule kaka alikua na bidada kwa maslahi yake zaidi... Kumbe na alimtapeli juu
Filamu mupya, kule Jide na Ruge wanayamaliza hawa wenzetu wanalianzisha....kilio kile kile kutapeliwa/dhulumiwa.
 
Hute

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
6,545
2,000
nimeamini papu
Inakuaje wanaJF,

Katika pitapita zangu Twitter nimekumbana na Tweet moja ya Mwanadada Mwamvita Makamba akidai yeye kama Mwekezaji binafsi katika tasnia ya Fashion ametapeliwa na Mbunifu wa Suti matata Bwana Sheria Ngowi.

Hapo alikuwa akimpa taarifa jamaa anayeendesha kipindi kipya mjini cha Papo Kwa Papo na Papi kinachoruka kila jumatano saa 3 kamili usiku kupitia YouTube na kinakuwa Mubashara.
nimeamini papuchi huwa zinalipa aisee, mtu unamaliza naye shule hohehae, baadaye kidogo anatembeza papuchi anakuwa bomba balaa. ajabu yake mnakuwa bomba usoni tu, uko chini mshachakazwa hamna hali, na mkiwa na bahati mbaya zaidi mkadondokea kwa mtaliano au mzungu yeyote, mmeshaliwa kiboga hadi tigo zenu hazifai. kwendeni zenu huko.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom