Mwamuzi amlima kadi nyekundu kipa kwa kumpiga muhuni aliyevamia uwanja na kumshambulia | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwamuzi amlima kadi nyekundu kipa kwa kumpiga muhuni aliyevamia uwanja na kumshambulia

Discussion in 'Sports' started by Hofstede, Dec 22, 2011.

 1. H

  Hofstede JF-Expert Member

  #1
  Dec 22, 2011
  Joined: Jul 15, 2007
  Messages: 3,584
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 0
  Sijui sheria za FIFA zinasemaje kuhusu huu uamuzi ila refa kaua mechi kwa kuchukua uamuzi wa kumtwanga red card kipa aliyeshambuliwa na muhuni. Violent conduct in a pitch results into a red card lakini nafikiri mazingira ya red card yanapaswa kuangalia. Je kama jamaa angekuwa na kisu na kumchoma kipa ingekuwaje?. Usalama wa wachezaji wawepo uwanjani ni muhimu sana. Japo Kipa anaonekana ame over react ila katika hali ya kawaida hili si tukio dogo la kufanya ufikirie mara mbili cha kwanza ni kujihami mengine baadae. Nafikiri kosa la kipa litakuwa kwenye ku-over react.

  The last 16 Dutch Cup tie between Ajax Amsterdam and AZ Alkmaar was abandoned on Wednesday after Alkmaar's goalkeeper Esteban was sent off for kicking a fan who had run on to the pitch.


  Costa Rican Esteban appeared to retaliate against the fan after being kicked himself.  After he was dismissed Alkmaar coach Gert Jan Verbeek ordered his team to leave the pitch and the match was called off, with Ajax leading 1-0.

   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #2
  Dec 23, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 237
  Trophy Points: 160
  duu hii balaa..
   
Loading...