Mwamko wa Mabadiliko Misri na Hatima ya Hosni Mubarak

Niagieni Mubarak! Amekaa jengoni utafikiri mfalme kumbe rais, Mh! Safari njema sijui utaelekea Saudia au wewe utawahi wapi! Unapoondoka usisahau kuwajulisha wanabaki kwenye madaraka kuwa - haki uinua taifa, ubabaishaji, ufisadi na uonevu haidumu milele na hautawahi hata kuishi miaka hamsini. Kila la kheri unapoendelea kujiandaa na safari.
Mwanae Gamal ambaye alikuwa ndio achukue hirizi za baba yake kesha panda kachukua masanduku 100 sijui na dolali ngapi,ah ni kama za budget ya Tanzania,na hata hapa tunaanzia Dowans kama kichochea cha nguvu ya umma kuingia mitaani,sijui watu wa Monduli watakimbilia wapi kwani wengine wana kwao huko Iran
 
Back
Top Bottom