Mwamedi ndiye alizivuruga Africans Lyon na singida united

Minyani inafukuzana kufungua nyuzi,mijitu mwitu mitopolo, inashida sana, ukiikuta inabweka utashangaa sana!!inabweka mpaka inatoa machozi, Minyani imeshasahau kuwa GSM aliishusha daraja majimaji FC!!!
Hawawezi kuliona hilo. Wapo na kumshupalia Mo anaeweka hela wanasahau ya kwao manyanini huko. Tarehe 12/09/2021 watapigwa hawa balaaa
 
Hawawezi kuliona hilo. Wapo na kumshupalia Mo anaeweka hela wanasahau ya kwao manyanini huko. Tarehe 12/09/2021 watapigwa hawa balaaa
Minyani toka MO ameingia Simba imepagawa sana,miaka minne haina hata kikombe cha kahawa,imebaki kurukiana TU.
 
Minyani toka MO ameingia Simba imepagawa sana,miaka minne haina hata kikombe cha kahawa,imebaki kurukiana TU.
Acha tarehe 12 kesho kutwa wataanza kugawana nguo maana wakifungwa hawatavumiliana. Ndipo yatajistukia
 
Ni kweli kuna Tofauti kubwa maana Sisi mashabiki WA makolokolo fc ni mambumbu makolo tukiwasilisha kitu huwa ni kuhusu yanga Tu lakini wenzetu wako mbali kidogo wao wakileta thread humu huwa ni kuhusu maendeleo ya timu Yao Tu hawana muda na makolokolo fc timu yetu. Si unaona hata Yule binge msemaji wetu jezi amevujisha vunja bei ye anasema yanga ndo wamevujisha huo ndo utofauti.
Ni kiswahili au mimi sijui kusoma na kukielewa kiswahili?

Sent from my SM-J701F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom