Mwamedi bilioni ishirini yetu

Candela

JF-Expert Member
Aug 12, 2021
558
1,447
Baada ya Mwamedi kuwauza wachezaji muhimu wa Timu yetu na kurudisha pesa yake ameamua kujiuzulu. Tunataka bilioni ishirini yetu mwamedi acha uswahili.
 
Nini nyinyi Utopolo embu kaondoeni urasimu wa jezi kwa gsm anaewapa 700 kwa kila mauzo ya jezi moja.
 
Baada ya Mwamedi kuwauza wachezaji muhimu wa Timu yetu na kurudisha pesa yake ameamua kujiuzulu. Tunataka bilioni ishirini yetu mwamedi acha uswahili.
kama vipi aondoke tu atuachie timu yetu :D :D
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom