Mwambieni Magufuli Tunahangaika sana Kujenga Nyumba za Ibada Asitubomolee Hovyo

Wasaga

Member
Jul 29, 2015
18
51
Inatuchukua miaka mingi ya kujitolea na kumwomba Mungu hadi kufanikiwa kujenga nyumba za ibada. Kama Magufuli hajashiriki kujenga nyumba za ibada, hajui gharama kubwa inayotupata kujenga nyumba hizi. Atuachie nyumba zetu hizi asitubomolee. Hakika laana kubwa haitamwacha kwa unyama huu na kiburi anacho mwonyesha Mungu.
 
"Msemakweli ni mpenzi wa Mungu. Watanzania mniombee" (Chato:32:45).
Boss, tutakuombea kwenye bar maana makanisa umeshayabomoa.
 
IMG-20171207-WA0009.jpg
 
Mungu angekuwepo, mvunja nyumba za ibada ya Mungu asingekuwa rais.
 
Back
Top Bottom