kimsboy
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 8,987
- 17,861
- Thread starter
- #41
Jamaa sijui kala maharage ya wapiKuna majitu Kama kichwani yamefungasha mafurushi ya mavi na sio akili.
Huku Kinondon juzi umeme umekatika kuanzia asubuhi Hadi saa moja usiku.
Halafu linatokea Jitu linaishi kwa shemeji Yake linashupaza shingo eti Hakuna tatizo kwasababu liko Dar.
Pumbav kabisa
Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app